Single mother tumeanza kushindwana na kutishiana maisha kisa mwanaye

Makaveli.
Roma empire haikujengwa mwaka mmoja.
Mke bora hutengenezwa.
Kutengenezana pia sio week moja.

Ampe nafasi ya kurekebishika.

Kumbuka huyo mtoto ndiye faraja prkee aliyokuwa nayo huyo mwanamke

Huwezi mtengeneza Mke wewe acha kudanganya.
Mwanamke akikupenda anakuwa vyovyote unavyotaka.
Kama hakupendi hakuna chochote utafanya
 
Kabla sijaishi na binti au Mwanamke yoyote lazima nimmnyooshe mpaka awe vile ninavyoona sasa anaweza kuwa Mke. Kisha ndipo niishi naye

Napenda Wanawake wa Kali kwa sababu wengi wanaakili alafu mbili yake ni Watu wa kanuni hivyo watakuwa na misimamo.
Uko sahihi sana....mfano huyo Mtu aliyeelezewa na mleta mada wapi aisee,,analeta mtoto Hadi unasikia kichefuchefu,huwaga siwezi kumvumilia kama ni Mtu wa karibu Huwa nakagombeza katoto kanatulia kenyeweeee
 
Ninachowapendea Wanawake wakikutana na maboya kama hivi wanapiga kikamilifu.

Sasa Baba utadili vipi na mtoto ilhali Mama tayari anamtazamo tofauti na wako?
Huyo hakuna namna,arudi kwao tu!kwanza Mtu anakulea wewe na toto lako unashindwa kumheshimu?huyo dada hajui kula na kipofu jinga kabisa
 
Wewe hakuna unaloweza hata mahari ndogo huwezi kutoa😂

Sasa kama mnaakili ya kutengeneza Wake kwa nini msitoe pesa ya kuwanunua?

Kwa hiyo wewe ulishamnunua mkeo ndio unaenda kutengeneza?😂😂

Yaani mkeo utoe milioni mbili alafu kuna Mwanamke mwingine kanunuliwa kwa milioni saba huoni hapo tayari mkeo thamani ipo chini?😂😂

Hata kufikiri hamwezi
 
Uko sahihi sana....mfano huyo Mtu aliyeelezewa na mleta mada wapi aisee,,analeta mtoto Hadi unasikia kichefuchefu,huwaga siwezi kumvumilia kama ni Mtu wa karibu Huwa nakagombeza katoto kanatulia kenyeweeee

Shida ukikagombeza unagombana na Mama yake. Na hapo ndipo utata unapozuka. Unaweza kuzushiwa maneno mabaya mtaani kuwa unaroho mbaya na hupendi watoto kumbe sivyo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] pole mkuu

Ati Bab ako angekuepo hai angekununulia

Kwanza niulize umeshaliona kaburi la huyo bwana ake
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Pole Sana mkuu.

Huyo Mama ni mama mpumbavu Sana yaani anamlea mwanae kimayai Sana,angekuwa na miaka 2 to 3 angarau ningemtetea.

Ni vizuri ulivyosema achague mtoto au wewe.

Ushauri.

Wanawake wenye watoto almost wana ugonjwa wa kutomwamini mwanaume yeyote yule.Wanapenda kutia huruma wakati wao ndio wenye makosa.

Kama single mother hanamaadili mle pita kushoto si mtu wa kumuweka ndani zaidi ya siku 4.
 
Kwa Hiyo Jamaa kafa,ushaonyeshwa kaburi mkuu?Usikute huyo singo maza anajifanya mwenzake kafa kumbe yupo machimboni congo.
Sio kuoneshwa kaburi tu.

Unaweza kuonyeshwa kaburi la uongo.

Inabidi uone picha ya baba akiwa kwenye jeneza na huyo Single Maza akilia kwa uchungu.

Pia uoneshwe cheti cha kifo chenye majina kamili ya marehemu na saini ya daktari kabisa.

Kisha ndio uoe huyo Single Maza.
 
Hii mada itachangiwa na wanawake wachache sana tena wanaojielewa, wengi wao humu wana malezi ya kihindi tena hata mhindi akasome.
Nina boss wangu mmoja ana wanae hao hatari. Mtoto wa kike hajui hata kuchemsha chai au hata kufua nguo yake ya ndani hajui na anaingia Form 1 mwaka huu, wa kiume yeye ndo kabisaa yupo la nne mwaka huu lkn alikuwa hajui hata kutumia kijiko cha chakula. Njoo kwenye tabia hata siwezi elezea hapa maana ni uozo wa tabia.
Haya, hawa watoto leo mzazi uko nao lkn ya Mungu mengi kesho hautakuwa nao!, wataishije na walimwengu km huwafundishi namna njema ya kuishi na watu?., wataishi na mjomba, shangazi au hata ndg wa karibu kwa unavyoona?
Aisee, tubadilike wazazi.
 
Kwaio wewe mkongwe,ulitaka jamaa afanyaje avumilie hata akipakwa mavi usoni,unaweza ukawa mkongwe kwnye haya mambo na ukawa fala tu mzee
 
Katika kitu nilifanya kizuri ni kuishi na mwanangu ili mama yake awe huru .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…