Single mothers na vilio vya kushangaza

Mi nikigundua mwanamke kwa dhamira yake na bila mimi kujua wala kupanga pamoja alinitegeshea mimba makusudi inabidi nimpeleke mahakamani kwa kosa la kuniingiza kwenye majukumu ambayo sijaplan
 
Mi nikigundua mwanamke kwa dhamira yake na bila mimi kujua wala kupanga pamoja alinitegeshea mimba makusudi inabidi nimpeleke mahakamani kwa kosa la kuniingiza kwenye majukumu ambayo sijaplan
Wakati wazungu wanatoka hujui kuwa ni mbegu?
 
na tuseme tu ukweli hali ya sasa inachangia hawa single moms kuwa wengi mjini + wanaume nao wanaogopa ndoa, so wanaona kuzaa si kigezo saana cha kuoana. well, just this morning a friend of mine amekuja ananilalamikia maskin jamaa ake alie zaa nae kaenda nje ya nchi alkuwa bongo kikaz, so kama vile karud kwao akiahid atarud but hadi saiv jamaa haonekani kama atarud. msichana wa 26yrs, ana mtoto jamaa alikua mme wa watu (wake zaid ya 2). So na hii post imeniwazisha, yes raha ishafanyika matokeo ndiyo hayo, what do we do?😵. Hamana ndoa no serious commitment, mtoto ndyo anawaunganisha. mimi hapa being 29 years sina hata kitoi kimoja, praying for husband tulee watoto wetu (considering mimi nimekua yatima, so najua uchungu wakukua bila wazazi, sitaki mwanangu yamkute kulelewa na one parent only, God forbid). so daaah, inaumiza kichwa hasa.. waeleweni tuu wakiwa na ghubu, wanasafaa yani si kitoto, especially ukiwa huna stable income and support it really kills them.
 
Mi nikigundua mwanamke kwa dhamira yake na bila mimi kujua wala kupanga pamoja alinitegeshea mimba makusudi inabidi nimpeleke mahakamani kwa kosa la kuniingiza kwenye majukumu ambayo sijaplan

utajuaje sasa? labda akwambie mwenyewe. Wanaume mjifunze kukubali matokeo as long as na wewe ulishiriki kuletea hayo matokeo, leeni watoto wenu.
Na wewe mwanadada unayelazimisha ndoa eti sababu ya mimba elewa kwamba ndoa ni zaidi ya kuzaa. msilazimishe ndoa, ndoa ni upendo, matokeo ya kulazimisha ndoa ni uchungu kuliko mjuavyo.
 
mmhh unafikiri kuvaa shela mchezo mchezo!!!😛
 
Pole sana Binti Kiziwi,you have spoken a very heart touching words!
 
Kama tukiacha zinaa haya yote hayawezi kutokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…