Hakuna mtu aliyechagua kuwa single mom, it just happens na hakuna jinsi. Hawa single moms mimi nawaheshimu sana, they're stronger than us all, they are fighers, breadwinners kwa watoto wao, mara nyingi wanakuwa bullied lkn still they keep going.
You need an iron chest kuwa single mama. Ni watu kamwe siwezi kuwasimanga.
Hats off to all single mama who are disrupting status quo. Salute!
Realy?mi ni mwanamichezo na mgumu haswa...muumini wa grit and grind kwenye michezo yote ninayocheza...ila dadangu nakuhakikishia....HAKUNA MCHEZO MGUMU KAMA HUU WA KU-PULL OUT!! bora nisifanye kabisa aisee.
msitulaumu kwenye hili jameni
Realy?
You too amaze menaughty girl!
dont even start it.....
YES! SIWEZI KABISA hahaha
Kukutaarifu vipi wakati wewe ndio unajembe!?Lakin shambaa uliliandaa mwenyewe bila hata kunitaarifu
Mi naona wanaojivua kwa hili ni wanaume wahuni na wasiojiamini wamekaa vichwa jujuu kuangalia leo huyu kesho huyu,The Boss man... unajuaje kuwa wanaolia lia hapa waliamua kujibebesha mimba? Mmejuaje makubaliano yao na waliokuwa wanaume zao, Kwani mnapovua nguo wote wawili, mwanaume hutumii CO, hujui kama mwanamke wako anatumia sindano au vidonge au njia yoyote yakupanga uzazi, hujui kama yuko on safe days au lah yet unamwaga ndani unategemea nini? Jukumu la kupanga kuzaa mbona mnalifanya kama la KE pekeao? Kama sivyo iweje likitokea lakutokea alaumiwe KE pekeake? Mi nashangaa kwanini wanaume mnajivua kabisa katika mess mliyoicreate kwa pamoja.
Lazma nyas ikatwe ndi upitishe jembeKukutaarifu vipi wakati wewe ndio unajembe!?
Msitupe k zenu siku za hatari na huwa mnazijua otherwise uwe kilazaWanadai wanategeshewa mimba kama tunawabaka vile.
Ni kweli nakubaliana na wewe na upuuzi wa kuzaa kabla ya ndoa ni wa mwanamke.Lazma nyas ikatwe ndi upitishe jembe
Ukijuq unajiandaa
Afta kulima utavuna
It's trueNi kweli nakubaliana na wewe na upuuzi wa kuzaa kabla ya ndoa ni wa mwanamke.
Lkn na wewe baba ili usimuachie mzigo na maumivu mwenzio fanya kujikinga basi naimani utajikinga na maradhi pia.
Mimi ni single mom ila sitajiunga kwenye hicho chama. Sio mlemavu mie.Napendekeza serikali ya awamu ya tano kupitia Wizara husika iunde hata chama maalum kwa ajili ya hawa single mothers kama ilivyo CWT kwa walimu nk. maana wanazidi kuongezeka inabidi wapate taasisi maalumu ya kuwasemea
Unamaanisha Zamaradi nae analalamika au?Km zamaradi 2 kids kwa ruge...[emoji13] [emoji13] na bado ana wenzie wanaozaa nae sambamba
sijui nao wanahaidiwa ndoa wote au jina tu linawasumbua
Tehe... huyu ni MBA hata kizazi cha mchepuko kikiharibika hapotezi kitu. Ana watoto kwa mkewe. Point yake naielewa - mwanamke kujipatisha kwa makusudi mtoto bila ridhaa ya baba mhusika siyo fair kwa huyo baba wala kwa mtoto. Kila mtu alinde kidude chake. Atakayeshindwa basi awajibikie matokeo.Akina The Boss wanajua kizazi kikishaharibika he has nothing to luz, atakwenda kwa mwingine ambae iko vizuri.
Well said. Salute to all single mothersHakuna mtu aliyechagua kuwa single mom, it just happens na hakuna jinsi. Hawa single moms mimi nawaheshimu sana, they're stronger than us all, they are fighers, breadwinners kwa watoto wao, mara nyingi wanakuwa bullied lkn still they keep going.
You need an iron chest kuwa single mama. Ni watu kamwe siwezi kuwasimanga.
Hats off to all single mama who are disrupting status quo. Salute!
Na jaribu kuwaza kivingine hivi
mwanaume amekunywa pombe.....
mwanamke anataka mtoto....
ikitokea mimba aanze kulia matunzo?
mwanamke si avae condoms za kike?
afterpills?