Single mothers na vilio vya kushangaza

Even putting on a rubber isn't 100%, man. It's crazy. Can't be too careful.

Just that, no man should get nasty with a mama and cry when she turns out knocked up. Nor mamas should cry when a brotha walks out.
Thats it maan,

If ya too comfy getting naked for each other, raising a kid together wouldn't be that bad at all,will it now??

Worst case scenario is giving everything in support,putting holes in all ya pockets, only to realise it ain't ya kid afterol,

Happened to me,n all I can say, is... Maan!!!!
 
Hawa wadada wa mjini 90 percent wanashika mimba by choice
Haha mkuu,

Nshakua na hawa wa mjini yaani wengi hawaelewi hata cycle yao ikoje,graduates wa chuo

Nshawahi date msichana anasomea udaktari muhas mwaka wa 2 yaani hajui ata danger days zake, ikabidi him downlodie app kwenye simu

Japo wapo wanaofanya kusudi ila wasiojielewa ni wengi pia
 
Condom hamzijui mnapolala na wanawake msiotaka kuzaa nao
So long hatubebi mimba,ukijiachia napiga kavukavu tu.kwani nakubaka si umetaka mwenyewe bana.Kuweni makini jamani uchungu unaumiza sana kama hujui pitia dirisha la leba afu jamaa yuko mtaa mwingine anaharibu hata chai haleti sasa taabu yote ya nini?
 

You raised another brotha's thinking it's your own? Damn man! Now that's gotta hurt. What did you do when you learned the truth?
 
The Boss mkuu katika hii dunia tuliyoko kwanza kuna magonjwa mengi yasiyotibika, kuna HIV, herpes ect, kinga bora kwa magonjwa haya ni condom. Mpaka umefikia kuwa kwenye mahusiano ambayo mnaplay safe sex inamaana mmeshaaminiana na mwenza either mmepima, wote mmerithia mmko salama au liwalo na liwe.

Sasa inapotokea liwalo na liwe utalaumu vipi ulitegeshewa mtoto? Sasa hivi kuna morning after pills ambazo zinauwezo wa kuharibu mbegu katika muda wa masaa 72 baada ya sex.
 
Kwa kifupi ni..sisi wanawake ukiamua kutopata mimba inawezekana..uko danger days hakuna condom basi sex asahau....tatizo tunawaendekeza..eti unaogopa ukimwambia ukweli atanuna...mwache anune usalama wako kwanza...km anakupenda ataheshim mawazo...lkn tukijitegesha na kuwaendekeza matokeo ndio haya ss masimango
 
You raised another brotha's thinking it's your own? Damn man! Now that's gotta hurt. What did you do when you learned the truth?
Walked away, the chick was crazy!! But i still feel for the kid, he ended up having some crazy parents!! Crazy mom n a junk dad,poor kid
 
Jifunze kuelewa thread
hapa nazungumzia mdada aliekwisha amua kuzaa bila kumshirikisha mwanaume

Sio unplanned wala bahati mbaya..
The Boss man... unajuaje kuwa wanaolia lia hapa waliamua kujibebesha mimba? Mmejuaje makubaliano yao na waliokuwa wanaume zao, Kwani mnapovua nguo wote wawili, mwanaume hutumii CO, hujui kama mwanamke wako anatumia sindano au vidonge au njia yoyote yakupanga uzazi, hujui kama yuko on safe days au lah yet unamwaga ndani unategemea nini? Jukumu la kupanga kuzaa mbona mnalifanya kama la KE pekeao? Kama sivyo iweje likitokea lakutokea alaumiwe KE pekeake? Mi nashangaa kwanini wanaume mnajivua kabisa katika mess mliyoicreate kwa pamoja.
 
Tatizo kubwa la wanawake hampendi kutumia kinga, na wengi hata danger days hawazijui, wao kanyaga twende tu
 
Umewapiga msumari wa utosi mkuu , akili zao lazima zi vaibureti , kwa wale ambao wamesha zaa watakubaliana na mtoa mada na wale ambao bado kuzaa basi watajifunza kupitia uzi huu …
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…