Mis powers
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 2,737
- 3,534
Ulitarajia ukipanda utavuna nini?! Mabua auNilikua sijui wote wanaopiga kavu lengo ni kuzaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitarajia ukipanda utavuna nini?! Mabua auNilikua sijui wote wanaopiga kavu lengo ni kuzaa
Thats it maan,Even putting on a rubber isn't 100%, man. It's crazy. Can't be too careful.
Just that, no man should get nasty with a mama and cry when she turns out knocked up. Nor mamas should cry when a brotha walks out.
Oooh kumbe!!!!Nilikua sijui wote wanaopiga kavu lengo ni kuzaa
Haha mkuu,Hawa wadada wa mjini 90 percent wanashika mimba by choice
So long hatubebi mimba,ukijiachia napiga kavukavu tu.kwani nakubaka si umetaka mwenyewe bana.Kuweni makini jamani uchungu unaumiza sana kama hujui pitia dirisha la leba afu jamaa yuko mtaa mwingine anaharibu hata chai haleti sasa taabu yote ya nini?Condom hamzijui mnapolala na wanawake msiotaka kuzaa nao
Thats it maan,
If ya too comfy getting naked for each other, raising a kid together wouldn't be that bad at all,will it now??
Worst case scenario is giving everything in support,putting holes in all ya pockets, only to realise it ain't ya kid afterol,
Happened to me,n all I can say, is... Maan!!!!
Km zamaradi 2 kids kwa ruge...[emoji13] [emoji13] na bado ana wenzie wanaozaa nae sambambaNa wote wanadai waliahidiwa matunzo au ndoa
wakati wengi tu huamua wenyewe
Hata shindano pia!Sio vidonge?
Lakin shambaa uliliandaa mwenyewe bila hata kunitaarifuUlitarajia ukipanda utavuna nini?! Mabua au
Walked away, the chick was crazy!! But i still feel for the kid, he ended up having some crazy parents!! Crazy mom n a junk dad,poor kidYou raised another brotha's thinking it's your own? Damn man! Now that's gotta hurt. What did you do when you learned the truth?
The Boss man... unajuaje kuwa wanaolia lia hapa waliamua kujibebesha mimba? Mmejuaje makubaliano yao na waliokuwa wanaume zao, Kwani mnapovua nguo wote wawili, mwanaume hutumii CO, hujui kama mwanamke wako anatumia sindano au vidonge au njia yoyote yakupanga uzazi, hujui kama yuko on safe days au lah yet unamwaga ndani unategemea nini? Jukumu la kupanga kuzaa mbona mnalifanya kama la KE pekeao? Kama sivyo iweje likitokea lakutokea alaumiwe KE pekeake? Mi nashangaa kwanini wanaume mnajivua kabisa katika mess mliyoicreate kwa pamoja.Jifunze kuelewa thread
hapa nazungumzia mdada aliekwisha amua kuzaa bila kumshirikisha mwanaume
Sio unplanned wala bahati mbaya..
Tatizo kubwa la wanawake hampendi kutumia kinga, na wengi hata danger days hawazijui, wao kanyaga twende tuKwa kifupi ni..sisi wanawake ukiamua kutopata mimba inawezekana..uko danger days hakuna condom basi sex asahau....tatizo tunawaendekeza..eti unaogopa ukimwambia ukweli atanuna...mwache anune usalama wako kwanza...km anakupenda ataheshim mawazo...lkn tukijitegesha na kuwaendekeza matokeo ndio haya ss masimango
Mkuu at least ata hizi Mada zina mashiko kuliko nusu za mada za hili jukwaaYaani humu watu wakikaa wakataka nitoke vipi basi ni single mamas au nyuchi za wanawake!! Haya kila la kherini.
Sasa unapo piz ndani what do u expect??Nilikua sijui wote wanaopiga kavu lengo ni kuzaa