Single mothers na vilio vya kushangaza

I hate mwanaume anaemwambia gal wake anywe vidonge ili Ku prevent pregnancy coz its obvious hana future nae na anacheza na kizazi cha mwenzie....hayo madawa yanayoenda kwenye kizazi sio mazuri kabisa...especially Kwa mabinti ambao hawajazaa kabisa
Akina The Boss wanajua kizazi kikishaharibika he has nothing to luz, atakwenda kwa mwingine ambae iko vizuri.
 
Its natural mtoto Wa kike akifika miaka 25 hujikuta akiitaji mwenza.so mhemko Wa ndoa kuanzia umri huo in lazima
Ni kawaida mkuu hilo linafahamika ila kuna presha kubwa inayotoka kwenye jamii yetu kwamba itamuona mtu wa tofauti pindi umri wa kuolewa ukifika na akawa hajaolewa kama wenzake.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Kumbe unajua kuwa ukipanda lazima uvune, then its good. Vuneni tuu na muache kutupia makelele.

Tena inabidi sheria ziimarishwe kama nchi za wenzetu ili na akili ziwakae vizuri.
 
Sasa same mada kila siku mwisho zinaonekana hazina maana tena.
Bora hata mods wangeziunganisha zooote ijulikane moja maana hakuna jipya kila siku ni yale yale tuuu.

Na ndio watu washagundua ndio mada zinazoibukaga na comments nyingi.
Zifutwe tu, waacheni wanawake wanaojilelea watoto wao wapumzike
 
Sometimes inaudhi sana!

Kumpa mwanamke mimba siyo kigezo cha mwanaume kumuoa,ila sasa wao wakiishaipata hiyo mimba wanalazimisha kuolewa.Sidhani kama ni sahihi.
 
Jukumu la kupanga kuzaa, kabla ya ndoa ni la mwanamke peke yake, why..coz you have no ties with him. Hamjafungamanishwa kwa lolote, zile ni tamaa za ngono tu zinawafanya mkutane kimwili...

Uzazi unapangwa na watu wawili walioko kwenye ndoa.
Hata mapenzi yanatakiwa kufanywa na watu wawili walioko kwenye ndoa, since tumeivunja hii sheria unaonaje tukiivunja na sheria ya pili uliyoisema hapo juu japo sijajua ni sheria ya wapi.
 
Sometimes inaudhi sana!

Kumpa mwanamke mimba siyo kigezo cha mwanaume kumuoa,ila sasa wao wakiishaipata hiyo mimba wanalazimisha kuolewa.Sidhani kama ni sahihi.
 
Jukumu la kupanga kuzaa, kabla ya ndoa ni la mwanamke peke yake, why..coz you have no ties with him. Hamjafungamanishwa kwa lolote, zile ni tamaa za ngono tu zinawafanya mkutane kimwili...

Uzazi unapangwa na watu wawili walioko kwenye ndoa.
Wacha we!!
Si huwa mnakojoa maji, basi hamna shida.
 
Kuna single mother nampenda yaani sijapata kujua, tangu tupo chuo mwaka wa pili hadi tumemaliza hataki kunielewa. Nyie acheni tu... Ila kuna siku itakua tu kama ninavyotaka.
 
Mkuu at least ata hizi Mada zina mashiko kuliko nusu za mada za hili jukwaa
Sasa same mada kila siku mwisho zinaonekana hazina maana tena.
Bora hata mods wangeziunganisha zooote ijulikane moja maana hakuna jipya kila siku ni yale yale tuuu.

Na ndio watu washagundua ndio mada zinazoibukaga na comments nyingi.
 
Wanaume wenyewe hawa wala chips mayai, akimaliza kuvaa condom kila kitu kiko break, mpaka aamke mwisho anasema ngoja tujaribu bila condom. Kesho na keshokutwa ukimtumia message hujaona siku zako ndiyo uadui unapoanza.
 
wadada mnaruhusu kupigwa kavu mkipata mimba mnaforce kuolewa.hyo kitu haipo bcz sifa ya mke syo kupata mimba na kuzaa tu.
Hivi inafosiwa vipi kumuoa mtu ambae hauna malengo nae??
Kurahisisha hiyo basi hakikisheni kila mahusiano mtakayokuwa nayo ni yale yenye malengo, lasivyo kaa kitulize.
 
Kuna lililokukuta kaka, kilio hiki si cha bure, jambo la busara ni kutunza mwanao tu naamini na wewe unayajua madhara ya kutembea pekupeku. Wajibu wa kujikinga ni wa wote wawili, usianze kumlaumu mwenzio kwa sababu hakujinaniliu peke yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…