Single mothers na vilio vya kushangaza

Hata mapenzi yanatakiwa kufanywa na watu wawili walioko kwenye ndoa, since tumeivunja hii sheria unaonaje tukiivunja na sheria ya pili uliyoisema hapo juu japo sijajua ni sheria ya wapi.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hamna bwana!! Nje ya ndoa wanawake huwa tunajigegeda wenyewe, hivyo we have to take full responsibility.
 
Wacha weeeeh!! Wanawake hawapendi kutumia kinga damn!!!!
Met a few claiming it hurts them,whatever that means

Eway mkuu samahani nilisahau kusema kwa uzoefu wangu, I was wrong kufanya generalization

Labda mnapenda and am the unlucky one kukutana na wasiopenda

Who knows
 
Kama kusingekuwa na mwanaume anasimamisha kabla ya ndoa kusingekuwa na single mothers.
Kweli kabisa, wakija watajitetea tusivue chupi kabla ya ndoa maana hisia huwa wanazo wanaume tu, kwakuwa wanawake hawana hisia they have to be responsible.

Kuna mwenzao mmoja humu alisema yeye amewarubuni watatu na amezaa nao na hana plan nao eti alikuwa anawakomoa tu, you can just emagine huyo ni mwanaume kabisaaa ambae one day ataenda kuwa furushi la mwanamke huko.

Wanapohitaji wanakuwa wapoleee,ahadi kedekedeee, subiri kinase wanavyogeuka, oooh hatukuwa na plan, plan my foot wakati hukutumia kinga yoyote!!!
 
Wacha we!!
Si huwa mnakojoa maji, basi hamna shida.
Wewe usikubali kutawanywa kizembe, tumia vidonge baada ya kutawanywa kama hupendi mipira. Tunakojoa uji mzito wenye millions of mbeguz...

Usijelia baadae na malezi ya kibebi pekeyo.

Kwanza muache ngono kabla ya kuolewa...
 
Wanaume wenyewe hawa wala chips mayai, akimaliza kuvaa condom kila kitu kiko break, mpaka aamke mwisho anasema ngoja tujaribu bila condom. Kesho na keshokutwa ukimtumia message hujaona siku zako ndiyo uadui unapoanza.
Haha sky

Umekutana na wala zege na ndovu

Njoo tunywe Bacardi na redbull

Au castle milk,maana huku kwetu huhudumiwi castle milk mpaka uonyeshe cheti za ndoa
 
Tena tuweke msimamo No Sex B4 the Ring.
 
Wanaume wenyewe hawa wala chips mayai, akimaliza kuvaa condom kila kitu kiko break, mpaka aamke mwisho anasema ngoja tujaribu bila condom. Kesho na keshokutwa ukimtumia message hujaona siku zako ndiyo uadui unapoanza.
Wengine utasikia oooh sitokojoa(walijitetea humu), wengine ooh wanaumia, ila matokeo ya kupiga peku walaa hawataki kuyasikia, hayo ni ya mwanamke peke yake.
 
Wewe usikubali kutawanywa kizembe, tumia vidonge baada ya kutawanywa kama hupendi mipira. Tunakojoa uji mzito wenye millions of mbeguz...

Usijelia baadae na malezi ya kibebi pekeyo.

Kwanza muache ngono kabla ya kuolewa...
Msingetutongoza wala zisingekuwepo hizi ngono kabla ya ndoa.
 
Na wewe kwanini upige kavu bao la ugenini?
tunapiga kavu bcz first of all majority of them awafurahii ndom.
Then swala kama hili ni sawa na kulala mlango waz af ukidamka asubuh unalaumu kwann umeibiwa.
huwez kumbebesha mtu majukumu ya ndoa kutokana na mimba ya bahat mbaya or mimba uliotegeshea.
 
Met a few claiming it hurts them,whatever that means

Eway mkuu samahani nilisahau kusema kwa uzoefu wangu, I was wrong kufanya generalization

Labda mnapenda and am the unlucky one kukutana na wasiopenda

Who knows
Iko hiviiii, honestly hakuna anaependa hayo madude, ni vile tu there is no way out.
Ila mpaka ifikie mkubaliane kupiga peku basi ni watu mnaofahamiana vizuri hadi afya zenu, kwahiyo mkiamua kupiga peku basi mjue matokeo yakija mkubaliane nayo tuu.
 
Mkuu unapokwenda shamba kupanda mbegu si unategemea zitaota, kwanini ufurahie kukojoa na kisha ukwepe majukumu? Kama hataki condomu mwambie wewe huko comfortable bila condom. Ukinunua dove the soap ukamalizia wazungu wako bafuni wala hakuna atakae kulazimisha ndoa mkuu.
 
Wewe usikubali kutawanywa kizembe, tumia vidonge baada ya kutawanywa kama hupendi mipira. Tunakojoa uji mzito wenye millions of mbeguz...

Usijelia baadae na malezi ya kibebi pekeyo.

Kwanza muache ngono kabla ya kuolewa...
Teh teh teh teeeeh!! As expected le me[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…