Mimba ya bahati mbaya ni ulobakwa tu.tunapiga kavu bcz first of all majority of them awafurahii ndom.
Then swala kama hili ni sawa na kulala mlango waz af ukidamka asubuh unalaumu kwann umeibiwa.
huwez kumbebesha mtu majukumu ya ndoa kutokana na mimba ya bahat mbaya or mimba uliotegeshea.
Yaani mngejua hivyo vidonge vinavyokuja kuwatesa hao wanawake baadae mngeacha kuwalisha watoto wa wenzenu, mngejua sindano sinavyosumbua baadae nadhani msingeongea chochote humu, nini vijiti ukija kuvitoa unaweza kubleed mwaka mzima, mngejua mateso yanayowapata wenzenu mngeacha kelele humu, hata condom pia zinatesa, zimawasha, zinachubua and all that.... kwakuwa hayawapati nyie wanaume ndio maana mna guts zakusema jukumu lakupanga uzazi ni la KE pekeake.Wewe usikubali kutawanywa kizembe, tumia vidonge baada ya kutawanywa kama hupendi mipira. Tunakojoa uji mzito wenye millions of mbeguz...
Usijelia baadae na malezi ya kibebi pekeyo.
Kwanza muache ngono kabla ya kuolewa...
Basi wasifanye hivyo at all alafu muone kama mtatulalamikia, tumieni tu zile akili mlizoambiwa then case closed.Vijana hawatongozi siku hizi, at least those days tulitongoza. Jiulize wanafanyaje kuwapata siku hizi.
Umeniacha njia panda! "As expected"? Did u have any expectations on my previous post...sijaielewa!!Teh teh teh teeeeh!! As expected le me[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
Mkuu ifike mahali tukubali ukweli,nyege zime over power judgement zetuIko hiviiii, honestly hakuna anaependa hayo madude, ni vile tu there is no way out.
Ila mpaka ifikie mkubaliane kupiga peku basi ni watu mnaofahamiana vizuri hadi afya zenu, kwahiyo mkiamua kupiga peku basi mjue matokeo yakija mkubaliane nayo tuu.
Kuna wanaume sometimes unawaza hivi walizaliwa kweli hawa!!! I think they shud try to walk in our shoes and figure it out.Yaani mngejua hivyo vidonge vinavyokuja kuwatesa hao wanawake baadae mngeacha kuwalisha watoto wa wenzenu, mngejua sindano sinavyosumbua baadae nadhani msingeongea chochote humu, nini vijiti ukija kuvitoa unaweza kubleed mwaka mzima, mngejua mateso yanayowapata wenzenu mngeacha kelele humu, hata condom pia zinatesa, zimawasha, zinachubua and all that.... kwakuwa hayawapati nyie wanaume ndio maana mna guts zakusema jukumu lakupanga uzazi ni la KE pekeake.
Kwangu mi the safe way ni kumwaga nje, au kusubiri safe days, haya huyo mwanaume wakumwaga nje yuko wapi? To hell with me heh, huyo mwanaume wakusubiri safe days yuko wapi? Thubutu, si ndio nyie mkinyimwa mnanunaaa na mnaenda kuchepuka? Na mkipewa mkijaza mimba mnakimbia eti hatukupanga, haha mi nafikiri kuwa mwanamke ni shida kuliko shida zenyewe.
Tumwage nje wakati tunarutubisha miili yenu kwa protini ya viwango? Unajua ni calories kiasi gani mwanaue hutumia ili tu amimine protein zake nje...Yaani mngejua hivyo vidonge vinavyokuja kuwatesa hao wanawake baadae mngeacha kuwalisha watoto wa wenzenu, mngejua sindano sinavyosumbua baadae nadhani msingeongea chochote humu, nini vijiti ukija kuvitoa unaweza kubleed mwaka mzima, mngejua mateso yanayowapata wenzenu mngeacha kelele humu, hata condom pia zinatesa, zimawasha, zinachubua and all that.... kwakuwa hayawapati nyie wanaume ndio maana mna guts zakusema jukumu lakupanga uzazi ni la KE pekeake.
Kwangu mi the safe way ni kumwaga nje, au kusubiri safe days, haya huyo mwanaume wakumwaga nje yuko wapi? To hell with me heh, huyo mwanaume wakusubiri safe days yuko wapi? Thubutu, si ndio nyie mkinyimwa mnanunaaa na mnaenda kuchepuka? Na mkipewa mkijaza mimba mnakimbia eti hatukupanga, haha mi nafikiri kuwa mwanamke ni shida kuliko shida zenyewe.
I expected such an answer.Umeniacha njia panda! "As expected"? Did u have any expectations on my previous post...sijaielewa!!
Hili la kucheki afya nalo ni janga lingine.Mkuu ifike mahali tukubali ukweli,nyege zime over power judgement zetu
Hivi wabongo wangapi wanapima afya kabla ya kusex?? 3,4 au 5%??? Hata Mara moja kwa mwaka???
We all take risks tu na kupimiana, kwamba flani huyu anajiheshimu atakua hana, which is exactly the opposite of how sex works
Eway, huu mchezo hauhitaji hasira!! Lakini wengi tupo careless sana, uliza wangapi wanapima ngoma kila Mara?? Honestly naweza kuweka my last coin hawazidi 20%
Basi unaporutubisha kubali virutubisho vyote.Tumwage nje wakati tunarutubisha miili yenu kwa protini ya viwango? Unajua ni calories kiasi gani mwanaue hutumia ili tu amimine protein zake nje...
Nyie watu msituchokoze[emoji12] [emoji12]
Huo msimamo unauweka wewe na nani, si ajabu unaandika hivi, mwenzako anapiga simu jamaa aje angalau atoe ugwadu wa mwezi. U can't run away from men, ndio maana nasema...vijana hawatongozi tenaTena tuweke msimamo No Sex B4 the Ring.
Na hao vijana wasiotongoza ni akina nani? Ukute ni wewe peke yako. Wapo wanaohaha hatari.Huo msimamo unauweka wewe na nani, si ajabu unaandika hivi, mwenzako anapiga simu jamaa aje angalau atoe ugwadu wa mwezi. U can't run away from men, ndio maana nasema...vijana hawatongozi tena
Naongeza protein kwenye maungo yako, sitaki kurutubisha yai...tofautisha hapo. Habari za yai lako, lini lipo tayari, lini limeharibika, lini linachacha unatakiwa kujua wewe...Basi unaporutubisha kubali virutubisho vyote.
Mkuu nakubaliana na wewe kwa hiliHili la kucheki afya nalo ni janga lingine.
Kama tunakubaliana kuwa "we are both careless" basi katika suala la mimba pia msalaba tuubebe wote, na kwakuwa mimba ishatokea tulee tu mtoto kwa amani for the sake of the child hata kama plans za ndoa hakuna.
Basi ndio ujue hivyo virutubisho vinakwenda kurutubisha hadi yai, kama hautaki yai pia lirutubishwe basi panga mapemaaa kabla haujakwenda, hebu fuatilia kalenda hadi uijue ndio ujiachie, lasivyo vaa CONDOMNaongeza protein kwenye maungo yako, sitaki kurutubisha yai...tofautisha hapo. Habari za yai lako, lini lipo tayari, lini limeharibika, lini linachacha unatakiwa kujua wewe...
And thats wht people shud understand.Mkuu nakubaliana na wewe kwa hili