Mark pawelk
Senior Member
- Jan 6, 2017
- 103
- 339
You sound brave Latoya!!! KudosHahaha hahaha
Watoto ni zawadi toka kwa Mungu
Ukitaka uwe happy just ignore the dead beat father and raise ur kid
Just show him he is just a sperm donor
kweli mtu uzae wakati umejipanga hesabu umekutana na sperm donor akitoa hela hesabu tu ni bonus .hao mabwege na malofa yasitutishie mfyuuuuHahaha hahaha
Watoto ni zawadi toka kwa Mungu
Ukitaka uwe happy just ignore the dead beat father and raise ur kid
Just show him he is just a sperm donor
Ila Mkuu ongezeni umakini na msimamo maana mimba mnapata nyie,kichef chef nyie,uchungu ya kuzaa nyie, kulea nyieAnd thats wht people shud understand.
Mkuu upo?? Mara ya mwisho nliona unaaga humu jamvini!!!kweli mtu uzae wakati umejipanga hesabu umekutana na sperm donor akitoa hela hesabu tu ni bonus .hao mabwege na malofa yasitutishie mfyuuuu
Na wanaume unawashauri watelekeze tu damu zao eti?Ila Mkuu ongezeni umakini na msimamo maana mimba mnapata nyie,kichef chef nyie,uchungu ya kuzaa nyie, kulea nyie
Sadly ukikaa vibaya jamaa anakutelekeza na mtoto, you have a lot to lose so I expect you to be a little bit cautious
responsibility aliyonayo mwanaume in such circumstance ni malez ya mtoto tu.hzo habar za ndoa c za lazima.Mimba ya bahati mbaya ni ulobakwa tu.
Kama hataki ndom then vaa boksa yako sepa maana hutaki kulala mlango wazi ukaibiwa.
I don't condone that(rejea post yangu ya kwanza page no 1)Na wanaume unawashauri watelekeze tu damu zao eti?
Ww hujui kiswahili?Even putting on a rubber isn't 100%, man. It's crazy. Can't be too careful.
Just that, no man should get nasty with a mama and cry when she turns out knocked up. Nor mamas should cry when a brotha walks out.
Pole singo mamaYaani humu watu wakikaa wakataka nitoke vipi basi ni single mamas au nyuchi za wanawake!! Haya kila la kherini.
Duh!The Boss mkuu katika hii dunia tuliyoko kwanza kuna magonjwa mengi yasiyotibika, kuna HIV, herpes ect, kinga bora kwa magonjwa haya ni condom. Mpaka umefikia kuwa kwenye mahusiano ambayo mnaplay safe sex inamaana mmeshaaminiana na mwenza either mmepima, wote mmerithia mmko salama au liwalo na liwe.
Sasa inapotokea liwalo na liwe utalaumu vipi ulitegeshewa mtoto? Sasa hivi kuna morning after pills ambazo zinauwezo wa kuharibu mbegu katika muda wa masaa 72 baada ya sex.
Huchelewi kusema ni shoga yako.Steve Bing ni mMarekani mfanyabiashara tajiri, alijidai yeye ni senior Batchelor, alimdate actress mwingereza Elizabeth Hurley, walikwenda for a week break kwenye romantic place, Liz alijua kabisa yuko kwenye danger days, baada ya romance za wiki, mimba ilikamata, Steve alipinga sana kuwa mimba si yake, Liz alimdanganya kuwa yuko kwenye pills, baada ya siku aibu imemkuta DNA test imeprove mtoto ni wake.
Kutokana na pesa ya jamaa, Liz na mtoto wanavuta £1million kwa mwaka kama child support kutoka kwa Steve na Damiani ni mtoto pekee wa Steve Bing mpaka sasa hivi na ndiye mrithi wa mali zote za baba yake.
Msituone ni wajinga tukiona opportunity tunazitumia pia.
Mimi mashoga zangu wote ni wa Kwamtogole mkuu.Huchelewi kusema ni shoga yako.
Yule mzungu alilala kwa mtogole?Mimi mashoga zangu wote ni wa Kwamtogole mkuu.
Do wale ni wa Mbezi Beach design mkuu.Yule mzungu alilala kwa mtogole?
The Boss huyo. Natamani ningekuwa na namba yako nikutumie videoNilikua sijui wote wanaopiga kavu lengo ni kuzaa
Ww hujui kiswahili?
Mbona unajihusisha sasa?Najua Kiswahili, ila muda mwingine sijisikii tu kujihusisha na kila mtu kwenye majadiliano. Kama wewe kwa mfano.
Kauli za umenichezea au umenipotezea muda kwa upande ule ni za kufikia tu . Sio wote ila wengi wao wamewekeza hapo magoli ya offside au kama penye draft tunaita force king (fosi kingi )ni kawaida wanajua ukimpa ujauzito basi maisha yanasonga ndio utata hutokea hapoUnakuta mdada alitoa mimba za kutosha
halafu anazaa na mtu anaanza kulalamika alirubuniwa
Hataki kusema ukweli alizaa kwa utashi wake pengine kamtegea huyo mtu