Single mothers nawaibia siri nyingine

Single mama ni wazuri tunachokikataaa na kukihofia ni connection yake na baba mtoto wake TU.

Hapo ndio penye tatizo ila kwenye mengine yoteee Hakuna mwanamke mzuri kuwa nae ktk mahusiano kama single mother..

Shida ni pale tuuu mko geto mnanjunjana Anapokea MUAMALA wa 500k Kutoka kwa baba mtoto wake anaambiwa Hela ya mtoto ya XMASS hiyoooo..

wakati mimi kumpa hela mingi haijawahi zidi 30k,unahisi kinafata nini,?? Tunaiona Future yetu ipo hatarini aseeee
 
Ila inategemeana Ntu na Ntu
 
Asante Studio....

Dj shikilia kidogo nitoe tangazo....."Leo single maza wamekumbukwa"

Dj walete single Maza kwa mziki wa chap kidogo ili tuokoe muda
 
Umemaliza kila kitu mkuu hakuna cha kuongeza.
 
Huwa nashangaa sana, mwanamke ana miak 28+ halafu anajinadi kwa mbwembwe zote eti hajawahi kuzaa, sijui wanaona ni sifa?
Taarifa zenu tunazo!
Aisee kwa mwanamke miaka 28 awe hajawahi zaa, ajabu sana aise, lazima atakuwa aliwahi kufanya abortion.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…