Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Leo single mothers wamekumbukwa
Makofi matatu matakatifu kwao [emoji122][emoji122][emoji122]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Leo single mothers wamekumbukwa
Makofi matatu matakatifu kwao [emoji122][emoji122][emoji122]
Mkuu usikariri MaishaSABABU ZANGU NI HIZI.
1. Single girls wengi ni Mama wa Marehemu,Wengi hawana watoto ila wameua watoto wengi kwa abortion.Kama ameweza kuua kiumbe chake tumboni
Kwa hiyo unatakiwa usemeje kama huna mtoto?Huwa nashangaa sana, mwanamke ana miak 28+ halafu anajinadi kwa mbwembwe zote eti hajawahi kuzaa, sijui wanaona ni sifa?
Taarifa zenu tunazo!
Ila inategemeana Ntu na NtuSABABU ZANGU NI HIZI.
1. Single girls wengi ni Mama wa Marehemu,Wengi hawana watoto ila wameua watoto wengi kwa abortion.Kama ameweza kuua kiumbe chake tumboni sembuse wewe Mtoto wa mama mkwe.Kuthibitisha hili angalia uliposoma chuo ni wanafunzi wangapi walioana kichuo na kuishi kama mume na mke ,Ni mimba ngapi walizitoa alafu baada ya chuo kila mmoja akashika njia yake.
2. Single girls wengi ni mabingwa wa kutumia P2.Yaani vizazi vyao vimejaa P2.Ukimuoa huyo kuja kupata nae Mtoto ni lazima MWAMPOSA afunge miezi 9 bila kula wala kunywa.Kizazi kilishalegea kama nyavu za ndondo Cup.Bed rest ni January to September.
3. Single girls asilimia kubwa wana wanaume wengi sana.Yaani wapigaji ni wengi.Ukioa single girl utachapiwa na wengi sana.Wote waliowahi kumpa mimba na kuzichomoa wataendelea kujipigia.
4. Asilimia kubwa ya single girls ni ma-slay queen.Hakuna lolote analojua kwenye maisha.Wao bata j3-j3.
NAWASHAURI VIJANA OENI MA SINGLE MOTHER.WANAJIELEWA KATIKA MAISHA NA UTAFUTAJI.
Dah hiii ni zaidi ya commentHao single mothers, walizaliwa wakiwa na watoto au nao siku moja waliwahi kuwa single girls?
Kwao Tena we unajitoa?Leo single mothers wamekumbukwa
Makofi matatu matakatifu kwao [emoji122][emoji122][emoji122]
Jiweke weweKwao Tena we unajitoa?
Umemaliza kila kitu mkuu hakuna cha kuongeza.Single mama ni wazuri tunachokikataaa na kukihofia ni connection yake na baba mtoto wake TU.
Hapo ndio penye tatizo ila kwenye mengine yoteee Hakuna mwanamke mzuri kuwa nae ktk mahusiano kama single mother..
Shida ni pale tuuu mko geto mnanjunjana Anapokea MUAMALA wa 500k Kutoka kwa baba mtoto wake anaambiwa Hela ya mtoto ya XMASS hiyoooo..
wakati mimi kumpa hela mingi haijawahi zidi 30k,unahisi kinafata nini,?? Tunaiona Future yetu ipo hatarini aseeee
Aisee kwa mwanamke miaka 28 awe hajawahi zaa, ajabu sana aise, lazima atakuwa aliwahi kufanya abortion.Huwa nashangaa sana, mwanamke ana miak 28+ halafu anajinadi kwa mbwembwe zote eti hajawahi kuzaa, sijui wanaona ni sifa?
Taarifa zenu tunazo!