Single mothers nawaibia siri nyingine

Single mothers nawaibia siri nyingine

wanawake wote ni sawa, anaweza kuwa bora kwako katika kipindi ambacho anatafuta nafasi ya kujiridhisha kwamba yuko salama kwa mtazamo wake, akishapata uhakikisho wa usalama wake, anaanza kupunguza uthabiti wa tabia yake njema iliyo kuvutia, kwa hiyo mabalaa wa ya ma single mother na ma single lady na madouble au ma triple as long as ni wanawake ni yale yale


solution ni kuacha kuoa kabisa. la sivyo kamata mwanamke yeyote ambaye ameingia kwenye cycle ya hisia zako vilivyo weka ndani, ila usitegemee eti utapata malaika
 
Hapana mkuu sijaoa single mother ila sijaona bado matatizo yao yako wapi mpaka kupelekea kukosa mvuto kwenye ndoa
Jaribu kuingia nao kwenye mapenzi utawajua jinsi walivyo
 
Upo sahihi kijana. Hii ni kutokana na uzoefu wako, pia maelezo yako yanatudhihirishia kuwa umeoa single mother.

Ila wengi ni pasua kichwa kutokana na retrospective history!!!

Komaa naye tu, utatoboa jombaaa!!!
Daa jamani unamrudisha nyuma mwenzio
 
Nimeona nyuzi kadhaa na maoni kuhusu hawa tunaowaita single mothers, mitazamo iko tofauti sana kulingana na kila mmoja anavyoamini.

Hawa ni wanawake Kama wanawake wengine tu na wanastahili kuheshimiwa kwani wengi wao wamebeba majukumu ambayo wanaume wenzetu wameyakimbia

Sitetei feminism ila Ifike wakati tuache kuwaona kama walikosea pahala mpaka kupelekea kuwa Single mother kwani sisi wanaume siyo malaika pia

Kuoa single mother siyo kujitwika mzigo kama baadhi ya vijana wavivu wanavyofikiria kwani kufanya hivyo ni moja ya kujipima uwezo wa kuhudumia familia yaani mkeo na watoto wako/wake uliowakuta kwake

Single mothers wengi wanajitambua na hawanaga utoto tena kwakuwa wameshajua maisha yapoje, wanajua kulea watoto wanajua kuhandle mwanaume na kila material wanayo

Sina uzoefu nao ila nawaona vijana wengi wakijenga shavu baada ya kuoa single mother na mara nyingi mahusiano yao yanadumu sana

Nawasihi wanaume wenzangu tuache shutuma na tuhuma zisizo na msingi kwa hawa wanawake kama hatuwezi kuoa tutulie kimya kuliko kuwaangushia jumba bovu wanawake waliozalishwa na kuachwa/kuacha.Tuwape heshima na treatment ile ile wanayopata wengine

Wanawake wote ni sawa



Student
Umeoa nn mze[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Baada ya akili, mwili na roho kujikusanya, wanaume wengi tumekubaliana bila kutokukubaliana kuwa single mothers wengi wanapendwa na kuhitajiwa zaid kuliko mabinti. nitatumia neno "walio wengi nikiamini kinyume na mimi hawakosag.

Sababu za wazi baadhi ni :
1. Single mothers wengi wamefikia miaka 28 umri unaofaa kwa mwanamke kufikiri maisha zaid kuliko ngono na mapenz.

Kifup tu wana akili zinazowajibika.
umri chini ya hapo hasa dada wasio na wajib wana wenge sana na mambo mengi kama wapiga ramli na ndoto hewa zisizotekelezeka. mf binti wa kivule,ana akili timam lakin anajisemea kwa dhat kuwa ataolewa na justin bierber kisa wigi limemkubali. wanaamin katika uzuri.

Single mothers wameshajipa majukum na akili za kiuwajibikaji. ni asset. sio liability.
tusisahau wanaume kamili huamini katika akili za kujitambua linapokuja suala la kuoa/kudum katika mapenz.

Maana ni wanawake wachache mno ambao wako chini ya mstari wa uzuri unaofaa.

2. Single mothers wanajua upendo kupitia mtoto wake. hivyo ni rahis kutoa upendo kama uwekezaji wa kupata upendo.

TATIZO:
Hofu ya wanaume dhidi ya x wa mke ni kubwa mno. kwa sabab mwanaume anaweza kuvumilia kila kitu isipokuwa kushare mke isipokuwa yule tu aliyejaliwa tamaa nyingi na akili kidogo. sio ubinafs ni nature.

NINI KIFANYIKE:
a)Mama usiendekeze mahusiano na baba mtoto kupitiliza kisa mtoto. mf kukupigia sim ovyo ovyo had usiku wa manane kisa uko na mwanae.

Pia usikubali mialiko ya ex hata ya ibadani.
hata misiba tuma mtoto tu na ndugu yako kutimiza haja ya ukoo wa uzao wa ex.
b) Mume tunza sana mtoto wa mke mwenzio kwa upendo wa wazi, mpe uhakika wa leo na kesho. jana haimsumbui sana mkeo. anaweza kupotezea mazma ex wake. mf kama kuna wa kumpa zawad ndan anza na mtoto wa ex kabla ya mke. ikibid hata mali toa kabla. fanya uwekezaj wa TRUST!

Mme chunga sana kauli zako km .....dam ya wapi hii iko hivi. Mke chunga sana kauli zako kama ....baba yake mzazi angekuwepo .....

Nihitimishe kuwa single mothers mnapendwa sana na kila mwanaume mwenye tafakuri nzuri. ni juu yenu sasa kumjua mwanaume hata kama unammudu kivip. kuna mengine ni ya asili hata limbwata haiyapangui.

Hata mimi isingekuwa nimeshapitisha umri wa kuoa ningejikita kwa single mother. wengi wanajitambua na wana malengo.
Umenena kweli kiasi fulani
 
Habari wana JF

Nilikuwa ninaishi sehemu mmoja hivi nikiwa na mpenzi wangu ila kwa wakati huo mimi na mpenzi wangu hatukuwa na good terms relationship ikapelekea mpenzi wangu arudi kwao mkoani kidogo ilitupeane gape.Kuna siku mmoja wakati nipo nje ya nyumba niliopanga kuna jirani yangu mmoja anaitwa suzy akaja akaniomba elfu 3 ya chakula akasema yeye hana bila hiyana nikampa.

Mimi nilikuwa nina urafiki kidogo na Mama mwenye nyumba wakati nipo naye ndio akaniambia mambo kuhusu suzy kwamba huyo dada hana hela ya kulipia kodi ya nyumba so nimemsaidia kumpa siku 15 anilipe hela yangu.Kuna siku nyingine huyo dada akanifata tena akaniomba nimsaidie kiasi fulani Cha pesa mtoto wake yupo hospital na yeye ana kiasi kidogo Cha fedha Cha kumsaidia mtoto wake matibabu baada ya hapo nikajua duh huyu atakuwa ana matatizo zaidi ya hapa nikaona nikae chini aniambie background yake ya maisha kiujumla basi yule mwanamke akaniambia yeye ana watoto wawili mmoja wa kiume ambaye ana mwaka mmoja na mwingine ni wa kike ana miaka 8 yupo darasa la tatu baba yao aliyezaa naye kawatekeleza na pia alinihasisha kazi niliyokuwa nikifanya kipindi tupo kwenye mahusiano na nikijaribu kumwambia watoto wanahitaji huduma amekuwa akinikatia simu na mwisho kabisa akaamua aniblock maana kila nikimpigia simu haipatikani, nikamuuliza baba yao anafanya kazi gani akaniambia ni muhasibu.

Baada ya kuelezwa vile nikamuonea huruma na ukizingatia huyu dada japo ni mzuri Sana,ana shape nzuri na kama angeamua ajiuze hela hizi za kula asingekuwa anakosa lakini akaamua Bora awe anaomba kuliko kufanya Huu upuuzi hiki ndio kilinivutia zaidi kumsaidia japo binafsi nina kipato Cha kawaida Sana lakini hivyo hivyo tutasaidiana.Nilikuwa na utaratibu wa kula kwa mama ntilie kutokana na mpenzi wangu kurudi kwao nikauvunja huo utaratibu nikaona Bora niwe nampa hela huyu jirani suzy awe anapika na yeye anapata fursa na yeye kula na watoto wake.

Nilijenga hata ukaribu na watoto wake huyo mwenye miaka 8 ambaye ni walike sometimes namsaidia kukaa na huyo mtoto mwa mwaka mmoja especially ikiwa siku ya weekend, nampeleka mtoto wake huyo wa darasa la tatu shuleni na nami naenda kwenye mishe zangu kiufupi nilitengeneza bond na huyo mtoto wake wa darasa la tatu utazani ni baba yake mzazi maana nilikuwa namsaidia mpaka kwenye masomo yake ilimradi tu nimpunguzie majukumu mama yao.sometime nawaletea hawa watoto vizawadi.Kuna siku nimekata na huyu mtoto wake wakike wa darasa la tatu aliniambia jambo lilonistua kidogo kwamba head master wake wa shule amemwiingilia kimwili Jana nikamuuliza zaidi akaniambia ile ya Jana inafika Mara tatu nikamuuliza umemwambia mama yako akasema hapana me nikamwambia usimwambie, nilimwambia asimwambie mama yake kwasababu najua wanawake wanaozwa na emotions kuliko akili mimi nilichokifanya nikumpeleka hospital akapime ili tujue athari baada ya hapo nikandaa mkataba wangu vizuri nikaenda hadi kwa head master nikiwa nina askari mmoja wa kituo lengo halikuwa huyu head master anyee debe lahasha ilikuwa alipe kwa alicho kifanya kwa njia tofauti na hiyo nikamwambia huna mawili ya kuchagua ufuate terms za mkataba au nikustaki kwa jamuhuri ya muuungano wa Tanzania kwa kumbaka mtoto ambapo adhabu yake ni miaka 30 jela.

Jamaa alikuwa muoga Sana ikabidi akubali kuchagua ule mkataba na kusaini terms zilikuwa kwenye mkataba ambapo nikiweka kama ifuatavyo kwanza alipe 1.5M ndani ya siku 15 kuanzia sasa, mtoto asilipe gharama zozote za shule mpaka anamaliza shule hiyo ya msingi, akifika secondary na high school gharama zote za shule ukiwemo ada,vitabu vya kujisomea, peni, limu, mitihani, madaftari, tuition yawe chini ya huyo head master, awe analipa sh 5000 kwenye account ya mtoto kwa kila mwisho wa mwezi baada ya sisi kumfungulia kwanini nikifanya hivi me niliwahi kumshuhudia binti aliyebakwa na baba yake akiwa ana miaka 5 kwenye kipindi hicho na huyo binti alikuja kuwa mgawaji Sana wambususu aliacha shule baada yakupewa mimba na hiki kitu sikutaka kimkute huyu binti.

Baada ya hayo mambo kuisha ndipo nikamshirikisha mama yao nikamkabidhi ile hela aliyokuja kutoa head master hela yote 1.5M pamoja na mkataba wote na yeye mama mtu akaipitia nikamwambia kama akishindwa kutekeleza vipengele vilivyo kwenye mkataba anijulishe

Kiukweli yule dada alinishukuru Sana ila kuna mambo nikamshauri ili vimsaidie mtoto wake wa yule aliyebakwa kwanza nikamwambia unatakiwa unatabia ya kuongeza na mwanao Mara kwa Mara ili chochote anachokuwa anakipitia huwe unajua cha pili uwe unampeleka kwenye mafundisho ya Mungu Sunday school ili ajengwe kiimani na la mwisho kabisa ni kwa upande wako usiingie kwenye kipindi kwenye mahusiano jipe muda na nguvu zako jielekeze kwenye kujiinua kiuchumi ukishakuwa na uchumi mzuri ndipo respect inakuja hata mwanaume kidogo atakuheshimu tofauti na ukiwa unamtegemea.

Huyu suzy alikuja kuniambia sema chochote unachota kwa namna ulivyonisaidia mimi nipo tayari kutimiza honestly nikamwambia siitaji chochote zaidi ya hitaji la mwili maana nilikuwa nina kama mwezi 1 na nusu sinafanya sex na nikwasababu tulitubana na mpenzi wangu na ukizingatia pia bado ajarudi tangu aondoke kwenda kwao demu akanizawadia bila hiyana.

NB:NSisi mwanaume tunazingua sometime kama utaki kuhudumia watoto unamzalisha mwanamke wa watu wanini? Kingine hivi kweli kwa dar hii unakosa kweli kumpata mwanamke na ukizingatia pia una hela mpaka unaenda kubaka mtoto mdogo hii ni akili au matope?

Na nyie wanawake sometimes ujitambue wanawake wengi wanafikra kwamba ukizaa na mtu mwenye hela basi automatically ataweza kuhudumia watoto bila kujali huyo mwanaume yupo willing kuhudumia?
 
Inno kama inno na story zake za kujiweka msamalia mwema daah mbususu ya mtoto ikamuokoa mama mtu kiuchumi nae anaitoa kujiokoa usamalia wema. Huyo headmaster ataendelea michezo yake kwa mtoto maana analipia na saiv atakua na vitisho zaidi kwa mtoto
 
Unaweza ukakuta jamaa alimfumania huyo demu halafu yeye akaleta jeuri halafu mambo ya familia sio ya kuyaingilia utakuja kushangaa siku wapo pamoja na jamaa wamerudiana maana hujui waliachana vipi hyo aliyo kuelezea yote ni chai tena yenye viungo vyote ww umeamua kuiamini bila kusikiliza upande wa pili .
 
Hongera mkuu umepata uchi wa mteremko kabisaa

serikali inafanya kazi nzuri sanaa
 
Back
Top Bottom