Single mothers nawaibia siri nyingine

Single mothers nawaibia siri nyingine

Mkuu heli atoe!!!
Kumbuka hakuna mwanaume anaekwepa mtoto hapa!
Ukiona yupo basi ujue huyo sio mwanaume
Sababu mwanaume kamili ni yule anaepambana na yaliyombele yake na sio kuyakimbia!
Tunachokwepa ni connection!!!
Ile connection iliyopo baina ya baba wa mtoto na mke wangu ndio topic hapa
Sio uwepo wa mtoto


Kwanza tu mtu wangu kuongea ongea na simu tu sipendi
Sembuse niwe NAJUA kabisa kua mke wangu kuna jamaa wanawasiliana HAPANA
Hahahahahah mwamba utaki mkeo tumpigie kabisa shemeji yetu🤣
 
Ukifikia kuia single maza ujue unamatatizo ya akili, kwanza hujiamini na siorijali + domo zege sikuzote anaejitambua hawez kushare shimo
 
Ukifikia kuia single maza ujue unamatatizo ya akili, kwanza hujiamini na siorijali + domo zege sikuzote anaejitambua hawez kushare shimo

Lete Maneno

By JK Wa Msoga ~Chalinze, Pwani, Tanzania

 
kugongeka ni swala la mwanamke mwenyewe mpaka atake sio kila nwanamke atakubali chief.

na baba kumwona mtoto sio lazima mama mtoto aende kwake. anaweza akaja nyumbani kumchukua anaenda nae matembezi jioni amrudishe au akae nae likizo, ikiisha mtoto anarudi. simple

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Kwanza kwann arudi,si ampe mazima mwanae,kama mwanamke ameamua kuambatana na mume mwingine,mtoto wa damu nyingine ya mwanzo ya nn,ndio mwanzo wa kugongwa huo.
 
Mwanamke umedharaulika umepata wa kukuheshimisha unarudi tena kwa aliyekudharau akumwagie...Nife aje atombع kaburi langu.Asante mume wangu kwa kuniheshimisha.SINGLE MOTHERS TATIZO MSIMAMO
Noma sana!
 
wangu kabla sijaolewa alikua anatoa 50 ya matumiz kila mwezi cm anapiga akijisikia unaweza mbep Mara kumi anakujibu unashida gani?

Nilipompata wangu huyu akaanza cm za kila Mara nikamuuliza ni hii elf 50 tu au unakingine??

Nikamwambia mtoto akikua atakutafuta kuku ww nikamblock kila mahali ninamiaka 2 Sasa sijui hata kafia wapi namshukuru Mungu namudu malezi ya mtoto wangu na huyu baba nikikwama hana tatizo kwa mtoto ananisapot...

Acha tu nimpende huyu baba pamoja na mapungufu yake kanitoa mbali ...
Noma sana!
 
Uko sahihi, tatizo ni kuwa hao wanaume waoaji nao sasa hivi hakuna. Vijana ni choka mbaya kuanzia kiuchumi mpaka huko kitandani, hivyo soon Single Mazas watakuwa na sifa sawa tu na wengine, tena watakuwa na advantage japo wana watoto wa kulinda sifa ya baba. Naona wakija kuwa wanatafutwa kama dhahabu huko mbeleni. Wavumilie tu haya mashambulizi kwa sasa 😀
Hakika na hivi kuna pia matatizo ya uzazi kuna wengine wameona kitambo na miaka inaenda lakini mpaka sasa bila bila. So utaona kwann mtu arisk kwenda asipokua na uhakika wa uzazi ...
 
Sasa anayekusugua si ndo mume tarajali au? Au kusuguliwa na yeyote afu ndo akili imetulia.Ndugu yangu kipindi cha kutaka ufunike aibu iliyokupata huwa akili inayumbayumba na kuteseka mno
Noma sana!
 
Umeandika vizuri, naomba niongezee yafuatayo.

Thamani ya mwanamke iko kwenye UKE (na ndio maana Mungu aliweka kizuizi); na ndio maana mwanaume wa kweli hawezi ubia kwenye mapenzi.Ila yeye anaweza mapenzi ya mishkaki bila tabu.

Mwanamke kuzaa na mwanaume, hii si tu wazazi bali hilo ni agano, tena agano la damu. Halifutiki hilo, na huyo anabakia kuwa mke wa mwenzio bila kujali sababu yoyote.

Suala la kujitambua na kuwa na Malengo ukweli uko hivi:

Mwanamke awali (kabla ya kuzaa na kuolewa), akili yake iko kwenye sura na maumbile yake. Akiisha zaa au kuolewa mulekeo wake unakuwa kwenye ustawi wa mtoto/watoto au na ndoa yake, sura na maumbile kwake sio kipaumbele tena kwake.

Hili la single mother, ni tatizo la kitaifa kuliko hata hii corona awamu ya tatu. kwa namna moja au nyingine familia zetu hizi zina mwanafamilia wa aina hii.

MADA ZA NAMNA HII NA ZIWE FUNDISHO KWA WALE AMBAO SIO SINGLE MOTHERS, UNAJIONDOA KWENYE USHINDANI!
Noma sana!
 
Ikifikia miaka 45+ nakuendelea,baadhi ya wanaume hupunguza vigezo vya kuoa,anaamua kua mwanamke yeyote bora ni mwanamke,namuoa.Hata wivu wa kimapenzi huanza kupungua kwa baadhi ya wanaume.Mtu mfanoumefiwa mke katika umri Mkubwa au umetalakiana na mkeo katika umri Mkubwa,unaoa tu yeyote.Angalia kama Mrema.
Kuna sehemu za nikiwai kuishi mikoa ya pwani uko, Yani nilishangaa kijana wa miaka 27 ameoa mwanamke aliyezalishwa watoto wa 4 na kuachwa na mumewe nikishangaa kijana mdoga akamuoa.
 
Sio kila single mother ameachwa wengine wameacha....ama mnafikirigi hakuna wanaume wenye mapungufu? Unakutana na limtu mwanaume yuko 30s ila anabet hawezi hata kununua pea ya socks kununua luku anashindwa ila ana hela ya bia...hana hata akiba ya kesho mtoto akiugua anapiga washkaji vizinga, mtu wa hivyo unataka mwanamke amgande ili tu asiitwe single mother?
Wengine wanavumilia mengine unakuta mwanaume mchafuuuuu muda wote ananuka jasho hapendi kuoga boxa inavaliwa wiki haijui maji mqshuka ndo usiseme yakifuliwa yanatoa mchuzi [emoji38][emoji38][emoji38] mnataka mdada abaki hapo ili asiitwe single mother?
Mi nawaelewaga sana single mama's ni fighters vibaya mno ukikutana na anaejielewa anapambana single handedly mtoto ale, avae, aende shule nzuri na haombi senti ya baba mtu ambae anashinda kuhonga na kulewa.
Lkn akikutomba anakufikisha kunako!?
 
Back
Top Bottom