Single mothers ni athari na madhara yanayotokana na kampeni ya usawa

Sasa useme na umuambie Nani?... Ulikuwa huna pakusemea ndio maana ulikuwa unakaa kimya
 
Single mother kwa mara nyingine tena!? Tuwapumzishe kidogo then tujadili na single father nao huenda tatizo lilianzia huku.
 
Single mother kama mume wake hajafa basi ni sawa na mfupa alioushindwa fisi.
 
Naomba tupate muongozo kuhusu hili la single mothers.

Hawafai tena kuolewa

Na wanaobidi kuolewa ni single mothers wote waliofiwa na wanaume zao.
Alafu wale nadhani tuwatoe kwenye kundi la single mazaz wale ni wajane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…