Hivi umewahi sikia kampeni za usawa wa kijinsia kwenye dunia ya waarabu? na mashariki ya mbali?
kwa nini Africa?.
JIBU: Kutokana na watu hao kukosa maono na muelekeo wa maisha yao, na hatima yao ina amuliwa na wachache.
Ebu ona:
1.Wafadhili wakubwa wa mikutano,semina,warsha na taasisi za kutetea wanawake.
Ndio hao hao wafadhili wa vita ktk nyinyi zote za Africa-Kumbuka wahanga wakubwa ni watoto na hao wanawake.
2.Wale wale wenye kuendekeza ubaguzi wa rangi kwa mtu mweusi, ndio hao hao eti watetezi wa mwanamke huko afrika kwa jina la domestic violence!
3.Walio kuwa wauzaji wa binadamu mnadani kama bidhaa, leo hii wamegeuka na kuwa watetezi wa haki za bindamu duniani, polisi wa duni!
Na ni hao hao wafadhili na wamiliki wa website zenye kuchapisha uchi wa mwanamke.
Na ndio hao hao watetezi na walinzi wa watoto wa wanawake wa kiume waolewe!
ANGALIZO:
Kama ilivyo kwa ukoloni enzi hizo, mtu mweusi alihusika pakubwa kwa Kusaliti wengine na kuwa chawa wa wazungu.
Hivi leo kuna wasiliti wanao onekana mashujaa wa kutetea na harakati za jinsia na usawa, kumbe wanawapotosha na kutesa wenzao.
Ni kweli wanamke ni jeshi kubwa, lakini jeshi lina pambana na adui wasio mjua!sio rahisi kushinda hivyo vita zaidi wanajiangamiza wenyewe.
WENGI WAKO STRONG MDOMONI, NA WEAK MIOYONI