Kwa huko mashuleni huwa wanajifunza nini?Shida ni tamaa😂
Au huwa wanasoma sana ili wawe wajinga?
Kwa huko mashuleni huwa wanajifunza nini?Shida ni tamaa😂
Kwenye wosia unasema kuwa mke ndo msimamizi.Ukiweka majina ya watoto ndo mke ananyang'anywa mali kiulainii maana ndugu wanasema wanaangalia mali wakisubiri watoto wakue.
Watoto wakiwa wadogo mali ziwe chini ya uangalizi wa nani kusubiri hao watoto wakue? Na vipi kuhusu wanandoa ambao hawakujaliwa kupata watoto? Mume akifa mali ziende kwa nani?Mme na mke sio ndugu wa damu. Na ndio maana mme akifariki siku hiyohiyo mke anachukuliwa na mwanamme mwingine na kuanza kutumia pesa za mme wake wa zamani na huyo mchepuko. Na mke akifariki mme pia anaanza kutafuna pesa na mchepuko wake. Kwasabababu Mke na mme sio ndugu wanatakiwa kuandaa document za kurithisha mali zao watoto wao ambao ndio ndugu zao. Watoto ni ndugu wa damu wa mama. Watoto pia ni ndugu wa damu ya baba. Mali asirithishwe mke au mme bali watoto. Na document itamke wazi watoto hawaruhusiwi kuziuza isipokua kuziendeleza tu na kile watakacho kipata kwenye kuziendeleza watamgawia ndugu yao wa damu yaani mama au baba yao. Au hata kama mama au baba yao aliyebaki ataziendeleza ataziendeleza hizo mali zikiwa katika umiliki wawatoto ambao ni ndugu zao.
Baadae watoto wanakuwa wakubwa mke ananyang'anywa mali na hao hao watoto wake( hii niliwahi kuishuhudia mahali).Kwenye wosia unasema kuwa mke ndo msimamizi.
Noma sana😂😂Baadae watoto wanakuwa wakubwa mke ananyang'anywa mali na hao hao watoto wake( hii niliwahi kuishuhudia mahali).
Huu ujinga upo Afrika kwa kiwango cha ajabu, imagine hata ndugu wa aliyekuwa mume wa Zari ( Ivan) walienda mahakamani kugombania mali za ndugu yao ilihali watoto ambao ni warithi washakuwa wakubwa, hukumu imetoka mwezi uliopita. Nilivyosikia hii habari nilibaki hoi. Imagine Zari kapambana miaka yote hiyo ndo haki imepatikana leo, je hohehahe wanapitia nini?Mali za ndugu Yao zinawahusu nini?
Inauma sanaSisi ndugu ndio tutabaki kuumia jasho la ndugu yetu anapewa marioo
Hao ni Ndugu za matajiri Sisi huku Mwaanyamala kwa Kappa mtu akifa ni Amani Tele Mwanzo mwishoHuu ujinga upo Afrika kwa kiwango cha ajabu, imagine hata ndugu wa aliyekuwa mume wa Zari ( Ivan) walienda mahakamani kugombania mali za ndugu yao ilihali watoto ambao ni warithi washakuwa wakubwa, hukumu imetoka mwezi uliopita. Nilivyosikia hii habari nilibaki hoi. Imagine Zari kapambana miaka yote hiyo ndo haki imepatikana leo, je hohehahe wanapitia nini?
Kila mtu aumie na mali zake jamani, mali za ndugu yako hazikuhusu, hazikuhusuuu.Sisi ndugu ndio tutabaki kuumia jasho la ndugu yetu anapewa marioo
Formula = Wamiliki watoto = Msimamizi Mzazi aliyebaki = Mtoto haruhisiwi kuuza chochote bali kukiendeleza tu = Mzazi aliyebaki haruhusiwi kuendeleza chochote bila sahihi ya mtoto na uthibitisho wa mahakama = Mthibitishaji Mahakama. Mambo yanaenda hivyo.Watoto wakiwa wadogo mali ziwe chini ya uangalizi wa nani kusubiri hao watoto wakue? Na vipi kuhusu wanandoa ambao hawakujaliwa kupata watoto? Mume akifa mali ziende kwa nani?
Mkuu,kuna ndugu wanaendaga kung'ang'ania hadi vyombo vya ndani. Inakuwa uwanja wa fujo,huyu kachukua blender, huyu kachukua heater,huyu kabeba vijiko,huyu kasomba masofa mwingine kaamsha na TV. Mjane anaachiwa nyumba nyeupeeee.Hao ni Ndugu za matajiri Sisi huku Mwaanyamala kwa Kappa mtu akifa ni Amani Tele Mwanzo mwisho
Ambao hawajajaliwa kupata watoto? .Na pia mzazi anayebaki akiwa mfano ni mfanyabiashara na na shughuli zake anaendelea nazo, anakuwa hana uwezo wa kufanya maamuzi yoyote ya kibiashara bila kuwasikiliza watoto wake?Formula = Wamiliki watoto = Msimamizi Mzazi aliyebaki = Mtoto haruhisiwi kuuza bila sahihi ya mzazi na uthibitisho wa mahakama = Mazazi aliyebaki haruhusiwi kuuza bila sahihi ya mtoto na uthibitisho wa mahakama = Mthibitishaji Mahakama. Mambo yanaenda hivyo.
Wafanye kazi waache utapeli.Huu ujinga upo Afrika kwa kiwango cha ajabu, imagine hata ndugu wa aliyekuwa mume wa Zari ( Ivan) walienda mahakamani kugombania mali za ndugu yao ilihali watoto ambao ni warithi washakuwa wakubwa, hukumu imetoka mwezi uliopita. Nilivyosikia hii habari nilibaki hoi. Imagine Zari kapambana miaka yote hiyo ndo haki imepatikana leo, je hohehahe wanapitia nini?
Hao watu kwenye mali acha kabisaaKuna familia moja hivi, wamasai baba yao amefariki hata mwili haujapoa ndani ya masaa machache, watoto wamepata ru taarifa kitu cha kwanza wanaanza kugombania kadi za magari na hati za nyumba na mama yao. Sema mama yao alikua strong akawaambia msinichezee nyie vifaranga.
Kutafuta pia wanajua, lakini wakipata kampenyo ka kupiga au kudhulumu hawaonagi tabu wala aibuKaskazini wana tamaa sana ya mali za bure bure.
Hukumu ilitoka inasemaje kakaHuu ujinga upo Afrika kwa kiwango cha ajabu, imagine hata ndugu wa aliyekuwa mume wa Zari ( Ivan) walienda mahakamani kugombania mali za ndugu yao ilihali watoto ambao ni warithi washakuwa wakubwa, hukumu imetoka mwezi uliopita. Nilivyosikia hii habari nilibaki hoi. Imagine Zari kapambana miaka yote hiyo ndo haki imepatikana leo, je hohehahe wanapitia nini?