Strong ladg
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 1,357
- 3,114
Watoto wa Zari walipata haki yao, ndugu wa Ivan walishindwa.Hukumu ilitoka inasemaje kaka
Watoto wa Zari walipata haki yao, ndugu wa Ivan walishindwa.Hukumu ilitoka inasemaje kaka
Hili limetokea kwenye familia ya Mzee Mengi, kulikuwa na Wasia lakini ulipingwa Mahakamani na waliopinga wasia wameshinda kesi.Kama ndugu wana tamaa hata ukiandika wosia, bado tu watasumbua, mahakamani n.k. Pia wosia unaweza pingwa mahakamani.
Tafuta za kwako.Mali sio makalio😂
Huku uswahilini ikitokea mchaga mmoja amefariki kunakuwa na michango ya lazima kama tunajenga shule au zahanati ya kijiji.Kaskazini wana tamaa sana ya mali za bure bure.
Hivi kuna sehemu zenye migogoro ya mirathi kama Dar hasa uswazi? Uswazi akifariki mtu na kuacha nyumba ni lazima utaibuka mgogoro,Kwa Arusha na Kilimanjaro haya yapo sana sheikh
Dar inaongoza kwa migogoroya urithi, hasa watu wanaofariki na kuacha nyumba.Kwa Arusha hii ni normal kabisa, Mzee wanarudisha kabisa ili warithi Mali
Huu ni ujinga ambao watu walikuwa wanaaminishwa zamani kuwa eti wachaga wanapenda fedha. Ukweli ni kwamba wachaga kwa sababu ya mazingira yao, walikuwa kabila la kwanza kutoka nje ya mkoa kwa wingi na kusambaa kila sehemu ili kusaka maisha bora hasa kupitia biashara. Makabila mengine ni kama yalichelewa kujanjaruka na ushahidi unaweza kuona sasa hivi..... watu wako radhi kufanya lolote ili kupata fedha.Ukute Mtu ana damu ya kichaga mix na kimasai au kimeru...Weeeh
Ndiyo maana siku za hivi karibuni wavulana wengi wa huko wamepoteza Ubingwa.Kaskazini na Mali wanatoana Roho, ndio kisa cha wasiojulikana kuenea
😀😀😀ghai wewe 😂😂 au tulisoma wote
Hao watoto wengine wanaweza kuwa wakubwa wakataka hata kukuua Ili wapate Mali.Funzo kwa wanaume umejiweza ukapata chochote kitu basi weka majina ya watoto wako achen ubinafsi mwisho wa siku mke na watoto wanakosa pakulala