Sintofahamu yaibuka siku moja baada ya mazishi, ndugu wadai mali za marehemu

Watoto wakiwa wadogo mali ziwe chini ya uangalizi wa nani kusubiri hao watoto wakue? Na vipi kuhusu wanandoa ambao hawakujaliwa kupata watoto? Mume akifa mali ziende kwa nani?
 
Mali za ndugu Yao zinawahusu nini?
Huu ujinga upo Afrika kwa kiwango cha ajabu, imagine hata ndugu wa aliyekuwa mume wa Zari ( Ivan) walienda mahakamani kugombania mali za ndugu yao ilihali watoto ambao ni warithi washakuwa wakubwa, hukumu imetoka mwezi uliopita. Nilivyosikia hii habari nilibaki hoi. Imagine Zari kapambana miaka yote hiyo ndo haki imepatikana leo, je hohehahe wanapitia nini?
 
Hao ni Ndugu za matajiri Sisi huku Mwaanyamala kwa Kappa mtu akifa ni Amani Tele Mwanzo mwisho
 
Watoto wakiwa wadogo mali ziwe chini ya uangalizi wa nani kusubiri hao watoto wakue? Na vipi kuhusu wanandoa ambao hawakujaliwa kupata watoto? Mume akifa mali ziende kwa nani?
Formula = Wamiliki watoto = Msimamizi Mzazi aliyebaki = Mtoto haruhisiwi kuuza chochote bali kukiendeleza tu = Mzazi aliyebaki haruhusiwi kuendeleza chochote bila sahihi ya mtoto na uthibitisho wa mahakama = Mthibitishaji Mahakama. Mambo yanaenda hivyo.
 
Hao ni Ndugu za matajiri Sisi huku Mwaanyamala kwa Kappa mtu akifa ni Amani Tele Mwanzo mwisho
Mkuu,kuna ndugu wanaendaga kung'ang'ania hadi vyombo vya ndani. Inakuwa uwanja wa fujo,huyu kachukua blender, huyu kachukua heater,huyu kabeba vijiko,huyu kasomba masofa mwingine kaamsha na TV. Mjane anaachiwa nyumba nyeupeeee.
 
Ambao hawajajaliwa kupata watoto? .Na pia mzazi anayebaki akiwa mfano ni mfanyabiashara na na shughuli zake anaendelea nazo, anakuwa hana uwezo wa kufanya maamuzi yoyote ya kibiashara bila kuwasikiliza watoto wake?
 
Wafanye kazi waache utapeli.
Wakae na wifi yako vizuri.uenda akawapa chochote kitu ila sio lazma
 
Hao watu kwenye mali acha kabisaa
 
Hukumu ilitoka inasemaje kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…