Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

Kabla hata ya wakoloni kuja wa Tutsi walikua wanatawala wahutu soma historia
 
Kabla hata ya wakoloni kuja watutsi walikua wanatawala wahutu, mkoloni alichofanya ni kutembelea mlele mlele na sera yake ya divide and rule
 
Hawa Wahutu hawana tofauti na sisi kabisa ila hawa Watutsi wanaonekana kabisa kama ni watu fulani wageni hivi,na kama ni mchanganyiko wa asili mbili fofauti.

Ila vita vya hivi kihistoria huwa haviishi, zaidi huwa vinapoa kisha vinaendelea.
Nahisi watakuwa na mchanganyiko wa makabila ya wasomali na ethiopia maana muonekano wao unafanana hv.
 
Hawa Wahutu hawana tofauti na sisi kabisa ila hawa Watutsi wanaonekana kabisa kama ni watu fulani wageni hivi,na kama ni mchanganyiko wa asili mbili fofauti.

Ila vita vya hivi kihistoria huwa haviishi, zaidi huwa vinapoa kisha vinaendelea.
Nahisi watakuwa na mchanganyiko wa makabila ya wasomali na ethiopia maana muonekano wao unafanana hv.
 
K

Kwa mantiki hiyo mkuu, naamini kwa namna moja au nyingine wahutu watakua wanajipanga kulipiza ili washike hatamu wawachomoe Watusi.

Swali in je wanatumia mbinu gani kujipanga? Tuliona Kagame alitumia RPF akitokea msituni.
Kagame alitokea Seal Team Six, ni kikosi Bora zaidi Marekani Cha makomandoo alikuwa huko mpaka muda mfupi kabla ya mapigano ya Rwanda kuanza.
Intellijensia ya kupindua nchi ilitengenezwa nje ya Afrika na hii RPF walikua chombo tu, ila kilichotokea wakati na muda mfupi baada ya uvamizi hakikuwa ndani ya plan.

.......Wamarekani walikuwa wanahitaji mshirika mpya baada ya kupoteza Kongo na Angola.
 
Nasikia majamaa yalikuwa kama mazombi ,,,,utapiga risasi hola linakufuata kibabe Mpaka likucharange ..

Sent using Jamii Forums mobile app
Walikuwa wamelewa muda wote.kitu kilichosababisha wawe na ujasiri wa hali ya juu.mfano kikundi cha interahamwe cha watu 200 kwa siku kinaweza kuua watu hata 5000.kubaka wanawake50.kwenye ubakaji hali ilikuwa mbaya sana.kumbuka wahutu hawaoi watusti lakini wanawatamani sana lwa jinsi walivyoumbika vizuri.wakati wa mauaji walikuwa wanachagua wanawake wazuri wanawapeleka kuwafugia kwenye magodown.kwahiyo wanakwenda kuua watu .wakichoka wanakunywa pombee bwiii.wanarudi walipohifadhi wanawake wa kitusti.wanachakata papuchi kwa zamu.kwamba wanaonja utamu wa wanawake wa kitutsi maana hawawaoi.
Hali hiyo inapelekea kuambukizana magonjwa ya ngono.imagine kwa siku mnapokezana wanawake hata 20.nyinyi mko 200au 150.mnajikuta gono imesambaa kwa interahamwe karibu wote achilia mbali ukimwi. Wakawa wanajiuliza mbona tunaumwa sana huku chini.hawa wanawake wa kitutsi wachawi sana leo tunaua wote...wakirudi wanauwa wote halafu wanawafukia kwenye kaburi moja.nina rafiki interahamwe alihamia hapa tz..alinihadithia..cha ajabu uchaguzi wa tz anapiga kura..na namba ya nida anayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kuna vita kati ya majeshi mawili na kuna vita nyingine ya kikabila. Sio wahutu wote waliua watutsi ila ni INTEREHAMWE ndio walihusika na ndio maana kuna wahutu kibao tu walichinjwa na INTEREHAMWE licha ya kuwa kabila moja la Hutu.

Ambacho unatakiwa ufahamu watutsi pia walichochewa na huo ushahidi ulipelekwa huko ICGTR Arusha kuwa watutsi walikua recruited na kupewa mafunzo ili kupambana na wahutu ''uraiani'' so genocide ilikua pande mbili.

Ila kwakuwa watutsi ni wachache ndio maana ikamezwa na genocide ya wahutu kuua watutsi ila wao pia waliua raia kwa raia.

Hata mtoa mada kaeleza hapo kuwa wahutu waliokua wanakimbia vita nao walichinjwa sababu ni wasaliti so unaweza ona wahutu kma wahutu hawakuwa wauaji ila INTEREHAMWE ndio ilitekeleza mauaji.

So hivi vikundi ndio viliua zaidi kuliko hata raia wa kawaida so tusipandikizwe chuki kuwaona wahutu ni wanyama mkuu
 
Sahihisho kidogo: UNAMIR haikua na wanajeshi kutoka France.
Wafaransa walikuja mwezi wa 6/1994 na hawakufika Kigali bali walitengeneza kilichoitwa ZONE TURQUOISE ambayo ilikua mikoa 4 magharibi mwa nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rwanda na Burundi wanahitaji suluhisho la kimataifa (UN) sio wenyewe kwa wenyewe hili ni 'time bomb' na PK analijua hilo ndomaana watusi wengi wenye uwezo jeshini na serikalini akiwemo PK wanafamilia mbili kwenye nchi tofouti hususani Ug na Congo, wanajua vzri kulipuana ni suala la mda tu

Conciliation au maridhiano baina ya hayo makabila mawili ningumu kwasabb chuki yao haina msingi ni ya asiri,

ni suala la UN kuingilia kati na kutawanya hivi vi nchi vi wili Burundi inchukuliwe na Tz na Rwanda iuunganishwe na DRC, then UN indeploye jeshi kubwa la kulinda Amani kwa kipindi cha miaka 10. Wa tusi million 4 tu hawatafanya lolote kwenye nchi ya watu 70m watamezwa tu.

hiyo mbinu ilishawahi kutumika ulaya mwaka 1830 ili kupunguza Austria Bel na Uholazi, ila tu wazungu ni selfish kwenye masuala ya Africa Rwanda itaingia tena kwenye genocide nyingine within half a century na itakua mbaya zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu utaharibu huu uzi kwa propaganda!! Ni lini hao wahutu walitamani wanawake wa kitutsi kingono?? Mkuu chuki huwezi ona uzuri wa mtu.

Kuhusu kubaka hao INTEREHAMWE wamebaka wanawake kibao huko Mashariki ya DRC nao watutsi?? Kubaka huwa ni silaha ya vita kama kuonyesha dominance kuwa ''Tumewaua na tumewachukua na wake zenu'' na imetumika tokea miaka ya Utawala wa rumi huko ndio sembuse wahutu??

Tupunguze propaganda mkuu
 
Mkuu umewaza mbali sana ila suluhisho lilishatolewa na mtawala wa kitutsi huko Burundi Prince Rwagasora? Aliamua kuoa Mhutu ili kuua ukabila ila watutsi wenzie walikataa na wakamuua.

So kama wakipitisha azimio waoane ili kumaliza tofauti zao itazaa matunda maana itakua ngumu kuua mtu sababu baba mhutu mama mtutsi cjui mjomba mtutsi alafu shangazi mhutu!! Hakuna vita hapo

RIP prince Rwagasore uliona mbali ila wenzio walikupuuza leo wanajuta
 
We ndo umenielewesha sasa.ahsante kiongozi
Kwa jinsi nilivyosoma na kufuatilia hayo yalikuwa mapigano ya koo na koo, maana kwenye tamaduni zote wako sawa.

Kinachokuja kuwatofautisha ni muonekano wa koo la Kitusi na Koo la Kihutu.
 
Hapa sasa nimepata mwangaza. Nashukuru. Naanza kuelewa kwanini Nkurunzinza hachomoki Burundi.
 
Maybe Yes, lakini yale mazungumzo ya radiocall baina ya Balozi na mtu asiyejulikana yananipa picha tofauti kuwa kulikuwa na uwezekano kabisa wa kufikisha chopper hapo bila kutunguliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…