Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini


we nae unaonekana unapumbazwa sana na imani potofu.
mtu aliyepita shule kidogo huwezi kuta anashadadia sijui "mashetani", "bikira maria".
 
Mbona una ni attack sana! Nakukera?

Sent using Jamii Forums mobile app

ulijifanya unajua maana ya neno "kimbari".
mshikaji kafafanua vizuri kabisa kukuelimisha. sasa cha ajabu unajifanye eti wewe na yeye wote maana yenu moja. kumbe ulikua chaka kabisaaaaa...
Usione aibu kuonekana mjinga kwa public, elimu ni bahari
 
Bila upendeleo wowote mbantu yeyote ni rahisi kuishi nyumba moja Mhutu kuliko kuishi nyumba moja na mtusi.

--:Mhutu analala na anakula chochote bila manung'uniko yeyote,unaweza akakaa kwako umemhifadhi ukawa unampaa mikazi migumigumu bila hata malipo na akatulia Tena asiwe na kinyongo chochote na kazi akakupigia fresh ili mradi usimuonyeshe Hali ya kumnyanyasa .

-: Mtusi ni mchaguzi kuanzia eneo la kulala Hadi chakula hata kazi ,kazi za nguvu hapana ukiishi nae kwako unaweza shangaa anataka uishi Kama anavyotaka yeye kwako mungu amewajalia kitu kimoja tu wako very Bright darasani basii

Sasa hii fursa ya kabila moja kuwa na miguvu na jingine kuwa na akili PK angeitumia vizuri kwakweli Rwanda ingekuwa kama nchi moja wapo tajiri barani ulaya ,bahati mbaya ametanguliza mtutu wa bunduki mbele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

BANGO JEUPE dalali tapeli wa nyumba za kupanga Dar.
 
Welcome back baba etu
Msalimie wife
 
ulijifanya unajua maana ya neno "kimbari".
mshikaji kafafanua vizuri kabisa kukuelimisha. sasa cha ajabu unajifanye eti wewe na yeye wote maana yenu moja. kumbe ulikua chaka kabisaaaaa...
Usione aibu kuonekana mjinga kwa public, elimu ni bahari
Nilisemakea tafsiri yangu na nikakubali kusahihishwa.halafu unaniita mjinga..tuheshimiane hata kama hatujuani.ungekuwa na wewe unaeleza unachokijua badala ya kudakiadakia hoja za watu.tumia lugha nzuri tafadhali na kwa mtazamo wa kujenga sio kubomoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah nimesikitika sana nimehudumia member wa JF bila utapeli hadi leo niko huru hapa kutangaza kazi zangu

sijaelewa huyu member mwenzangu wa muda mrefu nimemkosea nini, kuniita tapeli kwenye uzi wa kinyama kama huu

Mimi nina post zangu humu za udalali na page yangu insta ipo active sijawahi chafuliwa kwa tuhuma za utapeli
Ana strees za maisha huyu mama[emoji23][emoji23][emoji12][emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina wasi wasi na wahaya mana wako hivyo hawana undugu kweli na watutsi?
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Unapomalizia na sentensi hiyo unamaanisha unaombea suala litokee??
nakuona kama mjinga hivi
 
Mi ananishambulia kinoma[emoji23][emoji23].nahisi kuna wilaya haipo sawa kwenye moja ya mikoa ya mwili wake..[emoji23][emoji23]hasa kule kaskazini unguja[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…