secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,843
- 8,637
Utabiduliwa ww alaa!wewe nawe babu zima unakua na mishebeduo kama demu.
Ukiambiwa fact kubali, wengi tumeshakushtukia tangu mwanzo.
Ulikua unabwabwaja ukidhani hakuna wanaojua story ya Rwanda kuliko wewe imekula kwako π π π π π
JWalikuwa wamelewa muda wote.kitu kilichosababisha wawe na ujasiri wa hali ya juu.mfano kikundi cha interahamwe cha watu 200 kwa siku kinaweza kuua watu hata 5000.kubaka wanawake50.kwenye ubakaji hali ilikuwa mbaya sana.kumbuka wahutu hawaoi watusti lakini wanawatamani sana lwa jinsi walivyoumbika vizuri.wakati wa mauaji walikuwa wanachagua wanawake wazuri wanawapeleka kuwafugia kwenye magodown.kwahiyo wanakwenda kuua watu .wakichoka wanakunywa pombee bwiii.wanarudi walipohifadhi wanawake wa kitusti.wanachakata papuchi kwa zamu.kwamba wanaonja utamu wa wanawake wa kitutsi maana hawawaoi.
Hali hiyo inapelekea kuambukizana magonjwa ya ngono.imagine kwa siku mnapokezana wanawake hata 20.nyinyi mko 200au 150.mnajikuta gono imesambaa kwa interahamwe karibu wote achilia mbali ukimwi. Wakawa wanajiuliza mbona tunaumwa sana huku chini.hawa wanawake wa kitutsi wachawi sana leo tunaua wote...wakirudi wanauwa wote halafu wanawafukia kwenye kaburi moja.nina rafiki interahamwe alihamia hapa tz..alinihadithia..cha ajabu uchaguzi wa tz anapiga kura..na namba ya nida anayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkaushie huyo itakua kasahau kumeza dawa zake πDah nimesikitika sana nimehudumia member wa JF bila utapeli hadi leo niko huru hapa kutangaza kazi zangu
sijaelewa huyu member mwenzangu wa muda mrefu nimemkosea nini, kuniita tapeli kwenye uzi wa kinyama kama huu
Mimi nina post zangu humu za udalali na page yangu insta ipo active sijawahi chafuliwa kwa tuhuma za utapeli
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo jina enzi zetu tunasaka makopo ya bia za Stella na sufuria flani hivi ndo zilikua dili na soko kuu lilikua kigogo mburahati kule. Unakwenda katika mabomba ya Dawasco kuna konekta zao flani zilikua dili pia acha tuBabu la mababu dondosha tena hio kitu ya ndola zambia. Daaah babu limehustle lilienda hadi zambia kuokota siso.
Kwa Tanzania kagera pekee ndo mkoa unaopakana na Rwanda na unategemea niniNina wasi wasi na wahaya mana wako hivyo hawana undugu kweli na watutsi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeharibu hapo mwishoKitu nimejifunza hadi sasa:
1. Kutajwa kwa Dar, Nairobi, Kampala, Kinshasa, Ufaransa, Ubeligiji na Marekani, ni dhahiri vita haikuwa ya watusi na wahutu peke yao. Majabari ya vita hiyo yalikuwa nje ya Rwanda.
2. Vita si ya kujaribu kabisa kwani shetani hufanya kazi mwenyewe badala ya kuwatuma wasaidizi wake.
3. Kwamba malori yalipita juu miili ilozagaa barabarani, ni ishara kuwa mapigano Rwanda yalifikia hatua ambayo pengine ulimwengu haukuelezwa ukweli wa kilichoendelea huko na hivyo kukosa usaidizi stahiki wakati muafaka.
4. Ubalozi wa Tanzania kuwa kimbilio, na kutoshambuliwa kama ilivyokuwa kwa balozi nyinginezo kunatia mashaka iwapo hatukuwa washirika muhimu katika vita hiyo.
5. Media, hasa redio ni chombo hatari mno kikishindwa kufuata misingi bora ya kiutendaji.
Mwisho kuliko vita ije hapa kwetu bora CCM watawale milele.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo badae,na mpaka leo mtusi analipiza,General Nyamwasa aliwafagia wahutu pale Kibeho na wakaendelea nao mpaka Congo huko msituni wameuliwa sana mpaka Congo Brazzaville huko kimya kimya battle chini kwa chini. Kabila senior alikua anaona utani wakamshughulika fasta.maana ishu ilikua tunakuweka ila hawa watu tunawahitaji kaleta ubishi kilichotokea mnakijua.Unavosema watusi wana haki ya kuwachukia intarahamwe ambao ni wahutu, kumbuka watusi nao walikua wanawaua wahutu kwa kutumia vkundi vyao vikiongozwa na RPF.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah wahanga wanasema wauaji walisisitiza hakuna kupoteza risasi bure ilikuwa ni mapanga majambia mikuki rungu na silaha nyingine za jadi.Taylor ni mzuri kwa hiyo fani bunduki sana.
ila kilichotokea Rwanda usipime. Jamaa wanasema usipoteze muda na risasi kata miwa tu fasta. Hapo ni mapanga shaa, jembe la kichwa, nyundo sekunde tu watu hao wamemaliza kazi wanaangalia next station. Unakuta wanapigiwa call inyenzi wako 200 shule flani nendeni kazini unaambiwa wakifika pale hamna maswali.
Kwa kweli watusi wana haki kuhate hao jamaa interahamwe.
Ile hata mjerumani alichofanya Auschwitz haifiki.siku 100 tu mtu milioni+ ziliondoka
π€£π€£π€£nafuatilia mpambano kwa mbaaaliii naona mpaka umekubali LIKUDππ
Hahahhahaha uswahilini watoto walikua hawali mpaka wauze sisoHilo jina enzi zetu tunasaka makopo ya bia za Stella na sufuria flani hivi ndo zilikua dili na soko kuu lilikua kigogo mburahati kule. Unakwenda katika mabomba ya Dawasco kuna konekta zao flani zilikua dili pia acha tu
Risasi hazikutumika sana,wengi walikufa wanaoza tu kwa majeraha,jamaa walikua wanatembeza kichapo wanahama hata hawaangalii umekufa hujafa.Ila kuua watu 500,000+ kwa panga, nyundo, rungu sio mchezo. Hawa jamaa walichafukwa na nini hivi? Hata kama propaganda zilikua za kiwango gani?
Hii unaweza ikawa rekodi ya dunia nzima.
Sent using Jamii Forums mobile app
makaveli10 hiyo ndio lugha yake, hapo hajatukana.
Unajua lugha za wavuta ganja mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha Bangi, umeona green guard tu? Sio Red BrigadeNi kweli kabisa ukisha ona Chama tawala kisha anza kuwa ma Vikundi kama vya green guard,
Huku vkipewa ushirikiano na vyombo vya Dola,tegemea lolote laweza kutokea ili tu kukidhi matakwa ya watawala,
Unakumbuka vikundi kama Mungiki kule Kenya ,Janjawidi kule Sudan vilivyokuwa vinaendesha mauaji ,tuombe Mungu sana haya yasitokee hapa Kwetu.
Wahutu waliua watutsi rais mhutu akiwa madarakani, akafa kwenye ajali ya ndege, akaingia Kagame aliyekuwa anapambana kutokea msituniSamahani wakuu naomba mnijuze hapa
Katika mauaji ya Rwanda inaonekana waliolengwa na kuuliwa zaidi ni watutsi yaani ni kama watutsi walikua wapokea kipigo tu mwanzo mwisho
Sasa ikawaje tena baada ya hapo Rais wa rwanda akawa Mtutsi
Inamaana wahutu pamoja na kujipigania na kuua wahutsi bado hawakuweza kusimamisha kiongozi wa kihutu
Naona KG ndo mbabe sasa, Kwahiyo hutu walistruggle for nothing
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka Sasa na viewers 123k .comment kwenye huu uzi ukiwemo wewe mwenyewe 1k .maanake watu wameappriciate na hiki nachoondika humu na nilitarajia hilo ,Sasa Kama wewe bingwa njoo na uzi wako wowote ukifikisha nusu ya viewers wangu mpaka Sasa nasimamisha hii stori nafanya mengine umesikia Tingo wasalimie mwetu(kasubalesa-lumbumbashi)
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...!Kuanzia leo nikikutana na mnyarwanda nakula mbio, haijalishi ni mhutu or mtusi dadeki
Nahisi sio binadamu wale!
Mjomba ana mke mtusi sasa wale watoto wake nishaelewa ule ugomvi wao wa kushikiana visu chanzo nini!
Sitaki hata urafiki nao japo sijawahi kuzinguana nao!
Mmh nimewaogopa[emoji848][emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Zipekenyue bwana halafu tujulishe chapNo only morphology tu..Sasa mkuu mbunye zao ntazionaje[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app