Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

wewe nawe babu zima unakua na mishebeduo kama demu.
Ukiambiwa fact kubali, wengi tumeshakushtukia tangu mwanzo.

Ulikua unabwabwaja ukidhani hakuna wanaojua story ya Rwanda kuliko wewe imekula kwako 😅😅😅😅😅
Utabiduliwa ww alaa!
unaleta masihara hapa
 
Walikuwa wamelewa muda wote.kitu kilichosababisha wawe na ujasiri wa hali ya juu.mfano kikundi cha interahamwe cha watu 200 kwa siku kinaweza kuua watu hata 5000.kubaka wanawake50.kwenye ubakaji hali ilikuwa mbaya sana.kumbuka wahutu hawaoi watusti lakini wanawatamani sana lwa jinsi walivyoumbika vizuri.wakati wa mauaji walikuwa wanachagua wanawake wazuri wanawapeleka kuwafugia kwenye magodown.kwahiyo wanakwenda kuua watu .wakichoka wanakunywa pombee bwiii.wanarudi walipohifadhi wanawake wa kitusti.wanachakata papuchi kwa zamu.kwamba wanaonja utamu wa wanawake wa kitutsi maana hawawaoi.
Hali hiyo inapelekea kuambukizana magonjwa ya ngono.imagine kwa siku mnapokezana wanawake hata 20.nyinyi mko 200au 150.mnajikuta gono imesambaa kwa interahamwe karibu wote achilia mbali ukimwi. Wakawa wanajiuliza mbona tunaumwa sana huku chini.hawa wanawake wa kitutsi wachawi sana leo tunaua wote...wakirudi wanauwa wote halafu wanawafukia kwenye kaburi moja.nina rafiki interahamwe alihamia hapa tz..alinihadithia..cha ajabu uchaguzi wa tz anapiga kura..na namba ya nida anayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
J
Dah nimesikitika sana nimehudumia member wa JF bila utapeli hadi leo niko huru hapa kutangaza kazi zangu

sijaelewa huyu member mwenzangu wa muda mrefu nimemkosea nini, kuniita tapeli kwenye uzi wa kinyama kama huu

Mimi nina post zangu humu za udalali na page yangu insta ipo active sijawahi chafuliwa kwa tuhuma za utapeli

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkaushie huyo itakua kasahau kumeza dawa zake 😂
 
Babu la mababu dondosha tena hio kitu ya ndola zambia. Daaah babu limehustle lilienda hadi zambia kuokota siso.
Hilo jina enzi zetu tunasaka makopo ya bia za Stella na sufuria flani hivi ndo zilikua dili na soko kuu lilikua kigogo mburahati kule. Unakwenda katika mabomba ya Dawasco kuna konekta zao flani zilikua dili pia acha tu
 
Kitu nimejifunza hadi sasa:
1. Kutajwa kwa Dar, Nairobi, Kampala, Kinshasa, Ufaransa, Ubeligiji na Marekani, ni dhahiri vita haikuwa ya watusi na wahutu peke yao. Majabari ya vita hiyo yalikuwa nje ya Rwanda.

2. Vita si ya kujaribu kabisa kwani shetani hufanya kazi mwenyewe badala ya kuwatuma wasaidizi wake.

3. Kwamba malori yalipita juu miili ilozagaa barabarani, ni ishara kuwa mapigano Rwanda yalifikia hatua ambayo pengine ulimwengu haukuelezwa ukweli wa kilichoendelea huko na hivyo kukosa usaidizi stahiki wakati muafaka.

4. Ubalozi wa Tanzania kuwa kimbilio, na kutoshambuliwa kama ilivyokuwa kwa balozi nyinginezo kunatia mashaka iwapo hatukuwa washirika muhimu katika vita hiyo.

5. Media, hasa redio ni chombo hatari mno kikishindwa kufuata misingi bora ya kiutendaji.

Mwisho kuliko vita ije hapa kwetu bora CCM watawale milele.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeharibu hapo mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unavosema watusi wana haki ya kuwachukia intarahamwe ambao ni wahutu, kumbuka watusi nao walikua wanawaua wahutu kwa kutumia vkundi vyao vikiongozwa na RPF.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo badae,na mpaka leo mtusi analipiza,General Nyamwasa aliwafagia wahutu pale Kibeho na wakaendelea nao mpaka Congo huko msituni wameuliwa sana mpaka Congo Brazzaville huko kimya kimya battle chini kwa chini. Kabila senior alikua anaona utani wakamshughulika fasta.maana ishu ilikua tunakuweka ila hawa watu tunawahitaji kaleta ubishi kilichotokea mnakijua.

Mpaka sasa nguvu ile ya wahutu hamna kivile washavunjwavunjwa sana.
Na ndio kuna mdau kasema kapita huko watu hawana raha wapo km wana visasi hivi moyoni ndio wahutu hao nchi nzima.

Tusiombee hao jamaa siku wapate upenyo walianzishe safari hiyo watafuta kila kitu.
PK mwache awe mkali tu
 
Taylor ni mzuri kwa hiyo fani bunduki sana.
ila kilichotokea Rwanda usipime. Jamaa wanasema usipoteze muda na risasi kata miwa tu fasta. Hapo ni mapanga shaa, jembe la kichwa, nyundo sekunde tu watu hao wamemaliza kazi wanaangalia next station. Unakuta wanapigiwa call inyenzi wako 200 shule flani nendeni kazini unaambiwa wakifika pale hamna maswali.
Kwa kweli watusi wana haki kuhate hao jamaa interahamwe.
Ile hata mjerumani alichofanya Auschwitz haifiki.siku 100 tu mtu milioni+ ziliondoka
Yeah wahanga wanasema wauaji walisisitiza hakuna kupoteza risasi bure ilikuwa ni mapanga majambia mikuki rungu na silaha nyingine za jadi.
 
Hilo jina enzi zetu tunasaka makopo ya bia za Stella na sufuria flani hivi ndo zilikua dili na soko kuu lilikua kigogo mburahati kule. Unakwenda katika mabomba ya Dawasco kuna konekta zao flani zilikua dili pia acha tu
Hahahhahaha uswahilini watoto walikua hawali mpaka wauze siso
 
Ila kuua watu 500,000+ kwa panga, nyundo, rungu sio mchezo. Hawa jamaa walichafukwa na nini hivi? Hata kama propaganda zilikua za kiwango gani?

Hii unaweza ikawa rekodi ya dunia nzima.

Sent using Jamii Forums mobile app
Risasi hazikutumika sana,wengi walikufa wanaoza tu kwa majeraha,jamaa walikua wanatembeza kichapo wanahama hata hawaangalii umekufa hujafa.
 
Ni kweli kabisa ukisha ona Chama tawala kisha anza kuwa ma Vikundi kama vya green guard,

Huku vkipewa ushirikiano na vyombo vya Dola,tegemea lolote laweza kutokea ili tu kukidhi matakwa ya watawala,
Unakumbuka vikundi kama Mungiki kule Kenya ,Janjawidi kule Sudan vilivyokuwa vinaendesha mauaji ,tuombe Mungu sana haya yasitokee hapa Kwetu.
Acha Bangi, umeona green guard tu? Sio Red Brigade

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani wakuu naomba mnijuze hapa
Katika mauaji ya Rwanda inaonekana waliolengwa na kuuliwa zaidi ni watutsi yaani ni kama watutsi walikua wapokea kipigo tu mwanzo mwisho

Sasa ikawaje tena baada ya hapo Rais wa rwanda akawa Mtutsi

Inamaana wahutu pamoja na kujipigania na kuua wahutsi bado hawakuweza kusimamisha kiongozi wa kihutu

Naona KG ndo mbabe sasa, Kwahiyo hutu walistruggle for nothing

Sent using Jamii Forums mobile app
Wahutu waliua watutsi rais mhutu akiwa madarakani, akafa kwenye ajali ya ndege, akaingia Kagame aliyekuwa anapambana kutokea msituni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I see duniani kuna mambo mengi mazito sana ya kuogofya ya kikatiri, yanawapitia binadamu mahala popote,muda wowote haya-repotiwi. Hapo ndipo utajua life is fair. Big up sana kwa huyo mama barozi wa Tanzania nchini Rwanda kipindi hicho. Anastahiri sifa kabisa huko aliko. Ana roho ya kijasiri zaidi ya wanaume wa dar. Alikuwa jasiri haogopi kifo,alikuwa jasiri tayari kupigania anachokiamini, ikimbidi kifo. Mwisho nasema vita vipo tena Rwanda.

KG amepandikiza chuki sana mioyoni mwa wahutu,hawawezi kusamehe kamwe. Sasa basi njia ya kunusuru yajayo inabidi Tanzania kupitia UN tuzivamie hizi nchi mbili Rwanda na Burundi,then tuzifanye ni mikoa ya Tz. Tutawasambaza wengine Lindi,mtwala,mara,mbeya huko ile mikoa yetu miwili mipya Rwanda na Burundi itaunganishwa itakuwa ni eneo moja kwa ajili kambi na mafunzo ya kijeshi tu. JKT wote watakuwa mafunzo yao ni huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Historia ya Kagame ni ndevu sana, Ramani ya kuichukua Rwanda ilichorwa kwa msaada wa Museven, kwani walikuwa pamoja katika jeshi la Uganda. Huyu ni mojamoja kwa moja anahusika na kilichotokea
 
Mpaka Sasa na viewers 123k .comment kwenye huu uzi ukiwemo wewe mwenyewe 1k .maanake watu wameappriciate na hiki nachoondika humu na nilitarajia hilo ,Sasa Kama wewe bingwa njoo na uzi wako wowote ukifikisha nusu ya viewers wangu mpaka Sasa nasimamisha hii stori nafanya mengine umesikia Tingo wasalimie mwetu(kasubalesa-lumbumbashi)

Sent using Jamii Forums mobile app

Dingii unaanza kutuyeyusha dingii!!
 
Kuanzia leo nikikutana na mnyarwanda nakula mbio, haijalishi ni mhutu or mtusi dadeki

Nahisi sio binadamu wale!

Mjomba ana mke mtusi sasa wale watoto wake nishaelewa ule ugomvi wao wa kushikiana visu chanzo nini!

Sitaki hata urafiki nao japo sijawahi kuzinguana nao!

Mmh nimewaogopa[emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom