Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

Rwanda siielewi, kama watutsi ni wachache, inakuwaje kwenye uchaguzi Kagame anashinda kwa kura zaidi ya 90% ? wahutu wanampigia kura?
Hahahaaa ..mkono wa chuma,kila ikifika saa kumi na mbili wanajeshi wanajipanga barabarani Kigali nzima kwa tofauti ya mita 100 hawasemi wala kumgusa mtu tembea na ID masaa 24 ,ikifika saa sita usiku wakikukamata adhabu yako nikutembea nao au kukaa nao hapo hapo Hadi kuche ndo wanakuachia hakuna kesi ya uzururaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado najiuliza huyu mama aliyekuwa balozi wakati hup yupo wapi? na mbona jina lake linafichwa tungempa heshima yake maana hata ukimgoogle huwezi kumpa hakuna record yeyote kuhusu balozi zetu za wakati ule
Wewe mbona hujaweka jina lako halisi kwenye avatar yako ,ukiona limefichwa maanake ni confidantial.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza panda mnazi kwa matumaini ya kula madafu mbele lakini ukafa au ukajikuta hayo madafu wanakula wengine hapo hapo ndivyo ilivyotekes kwa kageme.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale walikua watu wa kazi wanarekebisha huku wanatungua huku. Hali ilishaeleweka mapema kipindi kile kwamba kitanuka huko ndo wakapelekwa wale kulinda mpaka na kupiga ile mambo yenu yaishie hapo msilete kwetu huku. Ukibisha tuna wewe
Usianzishe Vita bila kuangalia nyuma ya huyo unaetaka kupigana nae Kuna Nani au nini Utaumia.vita mbayaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliekuwa na Dola ya marekani ndo alisavaivu boda na bunjumbura huwezi amini tulifika boda wanaochange hela wakawa hawayataki mafaranga ya rwanda ,unayapeleka wapi? .Vita...Vita...Vita...Vita ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unaweza kuto summary ya kiliicho tokea ujeruman ili kutatua tatizo kama ilo?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyerere alikuwa na wanajeshi wazuri sana! Sijui hawa wala vihepe wa sasa hivi tunaowaona huku mitaani.

Yani hapo unaweza kuta hiyo difenda ilitokea tz ikapita pori kwa pori hadi Rwanda

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona wanajeshi pale lugalo ndo unasema wanajeshi wale wale ni maifisa tu na wasaidizi ukikutana na wazee w battle utakimbia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe nae unapumbazwa unaonekana zuzu unakubali tu.
hivi na akili zako timamu (japo zipo robo kilo) unaamini kwamba eti commando mmoja ni sawa na wanajeshi 100!!!

kwamba risasi ikimpiga kichwani hafi?
kwamba gari lao likitupiwa grumeti halilipuki?
Wewe dume jike Mbona unatulisha matango ambayo thread nzima hayajazungumziwa?
Unajielewa kweli wewe?!
 
Mkuu unaweza kuto summary ya kiliicho tokea ujeruman ili kutatua tatizo kama ilo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kule ni thread ingine, jamaa walikua usiku kwa usiku tu wanapiga kiberiti watu, list kwa list, wakipungua wanaletwa wengine.ila mziki wa Rwanda ilikua ni fasta sana haina kuremba ikifika jioni kagiza kanaanza watu wanaaga kabisa wake zao km naingia mzigoni nipikie ugali. Kazi ni hiyo kuua watu
 
walikua na unyama wao pia wa kula watu pia unyama unyama wa aina yoyote vitani haukosekani
Pia ni miongoni mwa notorious warlords wa africa.. Ningependa kama kuna mtu alikuwaga huko atusimulie
Aah huko kuchomana mishkaki ilikua kawaida tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…