Bossless
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 1,381
- 2,948
- Thread starter
- #1,341
Hahahaaa ..mkono wa chuma,kila ikifika saa kumi na mbili wanajeshi wanajipanga barabarani Kigali nzima kwa tofauti ya mita 100 hawasemi wala kumgusa mtu tembea na ID masaa 24 ,ikifika saa sita usiku wakikukamata adhabu yako nikutembea nao au kukaa nao hapo hapo Hadi kuche ndo wanakuachia hakuna kesi ya uzururaji.Rwanda siielewi, kama watutsi ni wachache, inakuwaje kwenye uchaguzi Kagame anashinda kwa kura zaidi ya 90% ? wahutu wanampigia kura?
Sent using Jamii Forums mobile app