Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

Hapa ndio unaposikia binadamu hatuna uvumilivu, kutukanwa kidogo umekata tamaa ya kuendelea... Achana na hao wewe mwaga ushuhuda..

Ukiwa mtu wa kukata tamaa kisa wengine watasema nini au wanasema nini huwezi kufanikiwa.

Mpaka hapo ulipo umekutana na changamoto nyingi na umeshinda sasa inawezekana vipi ukate tamaa kwa maneno ya mwanaJF?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Bossless, pKaka unatudhulum tuliokua wengi hujui kama kuna watu na mijitu mijitu hua kazi yao inasubir uanzishe Uzi yenuewe kazi yao ni kupinga tu bac achana na mijitu na hunasababu ya kuijibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angemaliza kwa muda mfupi kama anakazi za kufanya zingine je

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa umri huo ulipaswa kuwa mvulilivu na jasiri sio kukatishwa tamaa kizembe namna hiyo.

Hujaonyesha ukomavu wako.!
 
Nilivyofika hotelini mida si mrefu nikatoka kupata chakula, nikauliza mapokezi ntapata bia? Naam! Wakajibu zipo basi nikaa meza ya juu kabisa nikaanza kula bia.

Kesho nikaamka..mwingine aendeleze
Nilivyoamka asubuhi na hang over ya bia ya primus, kichwa kilikuwa kinagonga sana kuangalia saa ni saa nne asubuhi. Nikaoga fasta nikashuka restaurant kupata supu na kutoa lock. mwingine aendeleze
 
Ntalifanyia kazi wazo lako. Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilivyoamka asubuhi na hang over ya bia ya primus, kichwa kilikuwa kinagonga sana kuangalia saa ni saa nne asubuhi. Nikaoga fasta nikashuka restaurant kupata supu na kutoa lock. mwingine aendeleze
Baada ya hapo nikajikuta nimeishiwa faranga ikabidi niende Nyabugogo kubadili hela ya kitanzania huku nikijiuliza kuhusu yule demu wa kinyarwanda aliyenihudumia japo lugha hatukuelewana. Nilifanikiwa kubadili na kuelekezwa ubalozini. Nilivyofika ubalozini nikaona watu wana wasiwasi hawana raha. Nikaona kila mtu akipita reception anakodolea macho picha ya raisi. Mpaka hapo nilijua neno moja la salam (mwalamse)......

mwingine aendelee mleta mada atatukuta njiani.
 
Kwanza napenda kuwashukuru wote mlionipa moyo wa kuendeleza huu ushuhuda wangu asanteni sanaa labda niwaahidi ntaendelea hiki kitu lakini niwaombe radhi kidogo mimi umri umeenda majaribia kuigiza 55 yrs sasa unaona kwa umri huu hata typing tu lazima iwe kidogo kidogo kutokana na utu uzima

Kuna watu wanajua mimi ni under18 , nipende tu kuwaambia msitukane au kushutumu msiyemjua, akatae kukobolewa pale inayobidi au napo sahau jambo lakini kutukanwa si busara hata kidogo.

Kwa machache hayo - mtaelewa maisha ya kazi ubalozini ,maisha ya uraiani,kukimbia vita na kujikuta katika vita bila kutarajia (yani kupigana vita wengine mnaweza msinielewi lakini vita nimepigana kidogo ili kupata njia ya kupita), kurudi tanzania, kuacha kazi, kuhamia Zambia- Ndola na baadae kuanza kujishughulisha na biashara ya vyuma chakavu kutoka kapiiimposhi-zambia kuuza Tunduma na dar.

Stay turn........
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada kutoka rusumo hadi Kigali ni km 120 na sisi wenye malori tulikuwa tunatembea massa 6 - 7,na kinachosababisha tutembee kwa muda mrefu ni milima,yaani nimilima mitupu panda shuka kila kwa gari ndogo ukizidi sana itakuwa ni masaa 3 na huo utakuwa mwendo wa konokono wakati madereva was kule wanaendesha kasi sana.
Hivyo rudisha kumbukumbu zako muda ulioutaja kwa gari ndogo sio sahihi.
Ila ni kweli Nyamirambo ndio uswahilini kama ilivyo Buyenzi kule Bujumbura.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

hayo ndio mambo sasa.!

sio unasusa na kujidekeza



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka ya 89 inawezekana hiyo Njia ilikuwa rough road , si umesoma kutoka dar hadi kahama chombo kilitumia siku mbili?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…