Sintosahau: Siku mwandishi wa habari alipotushawishi tulie mbele ya kamera ili habari yetu na yake ipate uzito, wanawake waliweza, wanaume tulishindwa

Katika taaluma ambayo ina " wasanii" wengi ni taaluma ya habari, kulikuwa na tukio moja la kubomoa nyumba katika eneo letu, jamaa mmoja mjanja mjanja akasema ana namba ya mwandishi wa habari, akampigia akaja fasta.

Baada ya kufika akadai tumpe za kwake kwanza, na pili, ili habari iwe ya kwanza au ya pili, lazima tufanye mpango mhariri wa makao makuu, aonwe, tukampa.

Baada ya hapo alitoa ushauri ulioacha kizaa zaa na fadhaa, akasema kila mtu akusanye hisia aanze kulia kwa sauti kuu kama mjita au mkerewe au mnyakyusa amefiwa.

Kwa wanaume ikawa changamoto, watu walikuwa wanakamua macho chozi litoke, wapi, sauti za kulia zinagoma, zinatoka kama za spika iliyopasuka, wengi wakaishia kudondosha kope tu kwa kukaza macho.

Kwa wanawake ilichukua sekunde, zilifyatuka sauti kama mtu kaumwa na nyoka. Habari ikaenda.

Nchi hii usanii mwingi sana, baada ya hapo mwandishi akawapongeza walioloa kwa sauti kubwa, akasema lazima kesho watapata majibu.
Kwahyo majibu mlipata ?? Ila sisi wanawake kwakuigiza 😂😂😂😂 tunaliaga kama kweli tuna uchungu 😂😂😂
 
50 Cent anasema scene ngumu kwenye get rich or die trying ni pale alipotakiwa kutoa machozi....anema aliangaika Sana,hajawai lia anadai
 
Hii tasnia ya kuchukuwa picha kwa ajili ya habari ina kausanii sanii flani na sio local media tu hata international media kama aljazeera kuna wakati ukiangalia ni Kama wanafanya stage movie. Na ili habari iweze kuteka viewers basi wamama wajawazito,watoto, na wazee ndio wanatumika sometimes wanaambiwa wafanye nini na waongee nini.
 
Mimi chochote nachokiona kwenye TV social media internet najua ni maigizo
NMEAMUA KUAMINI IVO
 
Vipi ujumbe ulifika?? Majibu yalipatiana?
Bongo nyoso asee, watu wanawaza kupiga deal sio kusaidia jamii
 
Hiyo ni worldwide mzee...hata kwenye maredio hukumbuki kipindi kile cha feisali?..wakina dauda walivyokuwa wanamwelekeza cha kuongea halafu. kuna snich akarecord[emoji23][emoji23]
 
Katika taaluma ambayo ina " wasanii" wengi ni taaluma ya habari, kulikuwa na tukio moja la kubomoa nyumba katika eneo letu, jamaa mmoja mjanja mjanja akasema ana namba ya mwandishi wa habari, akampigia akaja fasta.

Baada ya kufika akadai tumpe za kwake kwanza, na pili, ili habari iwe ya kwanza au ya pili, lazima tufanye mpango mhariri wa makao makuu, aonwe, tukampa.

Baada ya hapo alitoa ushauri ulioacha kizaa zaa na fadhaa, akasema kila mtu akusanye hisia aanze kulia kwa sauti kuu kama mjita au mkerewe au mnyakyusa amefiwa.

Kwa wanaume ikawa changamoto, watu walikuwa wanakamua macho chozi litoke, wapi, sauti za kulia zinagoma, zinatoka kama za spika iliyopasuka, wengi wakaishia kudondosha kope tu kwa kukaza macho.

Kwa wanawake ilichukua sekunde, zilifyatuka sauti kama mtu kaumwa na nyoka. Habari ikaenda.

Nchi hii usanii mwingi sana, baada ya hapo mwandishi akawapongeza walioloa kwa sauti kubwa, akasema lazima kesho watapata majibu.
Mbona hata mahakamani haswa kwenye case za ndoa tunawaambiaga wadawa walie katikati ya ushahidi ili kupata huruma ya mahakama.
 
Same ishawahi kuntokea niko posta nlikua kwenye mitikasi ya kuvuruga mitaa, mwandishi wa habari tbc huyu hapa nkasema ngoja tu nisikatae, sasa shida ikaja ananiuliza nje ya mic kwanza kabla ya kuruka live kwamba kwa maoni yangu naonaje miaka mitatu ya utawala wa magu , yani ananiuliza kwamba nikiwa kwenye mic na camera ntasemaje. Nikamwambia washa camera na mic ndo niseme.

Kwa kifupi hatukufanya interview. 😂
 
Wajita, wakere na wahaya kwa kulia nawanyoshea mkono.
.vipi habari yenu ilifika wap
Umesahau Wakara, na kwa mbali kidogo Wajita. Hao wote ukirudi nyuma huko kabla ya Kristo walikuwa wahaya....... Ngoja nikimbie wasinipige mawe
 
Same ishawahi kuntokea niko posta nlikua kwenye mitikasi ya kuvuruga mitaa, mwandishi wa habari tbc huyu hapa nkasema ngoja tu nisikatae, sasa shida ikaja ananiuliza nje ya mic kwanza kabla ya kuruka live kwamba kwa maoni yangu naonaje miaka mitatu ya utawala wa magu , yani ananiuliza kwamba nikiwa kwenye mic na camera ntasemaje. Nikamwambia washa camera na mic ndo niseme.

Kwa kifupi hatukufanya interview. 😂
Tena ungemwambia twende live,angejuta mbona na hilo povu lako😀
 
Hii Nchi kila mtu msanii ila inategemea na scene ipi unaruka nayo kwa muda huo
 
Dah mm navojijua ningeanza kucheka baada ya kuskia hzo saut za wanawake wanaolia 😁 I can't fake myself though
 
Nakumbuka tulipokuwa secondary kipindi kile kuna changamoto ya usafiri kwa wanafunzi kuna siku jioni tupo stendi akaja mwandishi wa habari ITV (jiji letu) alituambia likija gari twende wengi kugombania ili yeye achukue video
Hapa mwandishi hakukosea hapa alifanyakitu ili mamlaka ione hali halisi jinsi wanafunzi walivyokuwa wanapata tabu
Enzi nzetu za bunsen burner za Vihiace hasa ukute sasa vile vipank nauri shilingi 50 tulipata tabu sana USAFIRI wanafunzi
Yule mtu aloyeazisha uzi wa kuwa tuliozariwa 80s. Ni stronger hakukosea tumepitia mengi sana aisee
Imagine unakalia pale pamoto kutoka posta labda mpk ubungo au ukonga na foleni hatari
Unashangaa unasikia harufubya mishikaki tu
 
Hio ni kwa media zote hata mm kuna kamwandishi alinifata kutaka kunihoji kwanza mnaanza na ka rehearsal 😃😃😃 halaf ndo interview yenyew
 
Katika taaluma ambayo ina " wasanii" wengi ni taaluma ya habari, kulikuwa na tukio moja la kubomoa nyumba katika eneo letu, jamaa mmoja mjanja mjanja akasema ana namba ya mwandishi wa habari, akampigia akaja fasta.

Baada ya kufika akadai tumpe za kwake kwanza, na pili, ili habari iwe ya kwanza au ya pili, lazima tufanye mpango mhariri wa makao makuu, aonwe, tukampa.

Baada ya hapo alitoa ushauri ulioacha kizaa zaa na fadhaa, akasema kila mtu akusanye hisia aanze kulia kwa sauti kuu kama mjita au mkerewe au mnyakyusa amefiwa.

Kwa wanaume ikawa changamoto, watu walikuwa wanakamua macho chozi litoke, wapi, sauti za kulia zinagoma, zinatoka kama za spika iliyopasuka, wengi wakaishia kudondosha kope tu kwa kukaza macho.

Kwa wanawake ilichukua sekunde, zilifyatuka sauti kama mtu kaumwa na nyoka. Habari ikaenda.

Nchi hii usanii mwingi sana, baada ya hapo mwandishi akawapongeza walioloa kwa sauti kubwa, akasema lazima kesho watapata majibu.
Haukulia bro......
 
Nakumbuka tulipokuwa secondary kipindi kile kuna changamoto ya usafiri kwa wanafunzi kuna siku jioni tupo stendi akaja mwandishi wa habari ITV (jiji letu) alituambia likija gari twende wengi kugombania ili yeye achukue video
Yaani, inafikirisha kabisa
 
Back
Top Bottom