Sinywi pombe Sinywi soda! Ninywe nini nikiwa bar

wine ni pombe ! mi sinywi pombe
ni kweli lakini kiasi ninachokwambia kitaboresha afya yako unachanganya na maji
yuko mzee mmoja msabato alikuwa anaumwa akaletwa mjini kutibiwa akaambiwa baada ya chakula hasa cha jioni avute hata glass ya wine taratibu kwa muda mrefu afya yake ikawa njema.
hata wenye sukari wakinywa dry wine wakipima sukari inashuka.
sielewi unaumwa nini lakini jaribu utanishukuru najua wako wengine watajaribu.
 
nilipumzika pombe miaka 7 tena siku ya kuacha nilikunywa pombe ya kutosha na nilihakikisha kila kinywaji ninachokunywa kipo ndani na bado nikavumilia.
niliporudi nikaanza mdogomdogo na wine tena mara chache.
kwa sasa nimerudi kwa Konyaji ndogo na wine naweza kunywa labda kila baada ya wiki mbili kwa kiasi kidogo tu.
na niko vizuri tu.
 
nunua Ceres au Azam ya box angaika nayo au kunywa Bavaria 0.0% alcohol
 
Usiende bar
 
Kunywa juice
 
Ukiwa bar ww kula Nyama tu na maji
 
Mimi mwenyewe nimeacha pombe zote nina mwezi na siku kadhaa.
Shida nikifika bar napiga soda 2 hoi! Nahamia kwenze maji na yenyewe hayaendi kama bia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…