Sinywi pombe, sio mtu wa wanawake situmii kilevi chochote na bado maisha magumu, shida itakuwa Nini?

Sinywi pombe, sio mtu wa wanawake situmii kilevi chochote na bado maisha magumu, shida itakuwa Nini?

Kujibana sana sio tiketi ya kuishi maisha bora. Jiachie ili upate akili ya kutengeneza vyanzo vya mapato. Mpango wa Mungu ni binadamu kuwekeza na sio ku-sevu wala kujibana. Sikushauri unywe pombe au uwe na wanawake wengi ila usijibane. Utakuta hata kujitoa out siku moja moja hufanyi.
 
Back
Top Bottom