Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
Kwenye pombe kuna connections kibao.. Anza kujichanganya na walevi sahihi utafaidiKijana Nina misimamo sina makundi situmiii kilevi ila sina maisha Wala Hela tatizo linaweza kuwa Nini wakuuu
Hakuna Tatizo Hapo Hayo Ndiyo Maisha Yako HaliKijana Nina misimamo sina makundi situmiii kilevi ila sina maisha Wala Hela tatizo linaweza kuwa Nini wakuuu
Umenena vema sana mkuuKujibana sana sio tiketi ya kuishi maisha bora. Jiachie ili upate akili ya kutengeneza vyanzo vya mapato. Mpango wa Mungu ni binadamu kuwekeza na sio ku-sevu wala kujibana. Sikushauri unywe pombe au uwe na wanawake wengi ila usijibane. Utakuta hata kujitoa out siku moja moja hufanyi.
hizo ni pattern jitahidi kuzifunguaKijana Nina misimamo sina makundi situmiii kilevi ila sina maisha Wala Hela tatizo linaweza kuwa Nini wakuuu