Sinza baadhi ya watu acheni kukaa uchi, yaani wake kwa waume

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Hellow Africa,

Kuna mavazi ya kuvaa ukiwa kwenye hadhara ya watu na mengine sio mavazi rasmi kabisa ya kuvaa kwa watu.

Sinza nowadays unakuta mwanaume kavaa boksa na kaoshi anazulula mtaani wala hana hofu yoyote ukipita uku unakutana na wadada nao wanavaa ivyo ivyo wengine taiti tu kitu ambacho sicho sawa.

Mtu unavaa ivyo kwa dhumuni lipi hasa?
 
Shetani anajiinua.
 
Live and let live!

Sio sawa kwako wewe...ila ni sawa kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…