Sinza baadhi ya watu acheni kukaa uchi, yaani wake kwa waume

Sinza baadhi ya watu acheni kukaa uchi, yaani wake kwa waume

Hellow africa

kuna mavazi ya kuvaa ukiwa kwenye hadhara ya watu na mengine sio mavazi rasmi kabisa ya kuvaa kwa watu

Sinza now day unakuta mwanaume kavaa boksa na kaoshi anazulula mtaani wala hana hofu yoyote ukipita uku unakutana na wadada nao wanavaa ivyo ivyo wengine taiti tu kitu ambacho sicho sawa

Mtu unavaa ivyo kwa dhumuni lipi hasa?
Mjini shule, unataka wakajiuze wapi? Wengi wanasema Dodoma ni mbali, wanawasubiri wabunge warudi mjini.
 
Back
Top Bottom