Sinza baadhi ya watu acheni kukaa uchi, yaani wake kwa waume

Halafa utasikia janaume fulani maeneo ya kule wapi sijui eti ana demu anataka kuoa anakaa Sinza aka ndembendembe rojorojo kitu laini maji kama yote bwereree
 
Nadhani kuna watu hawana ufahamu kuwa boksa ni aina ya chupi tu. Nakumbuka kuna siku niliwahi kuleta uzi nikisema niliwahi kupanda bodaboda mida ya alfajiri jamaa anaendesha amevaa boksa kuna watu wakadhani ni chai tu.
 
Usipite huko hautaona hivyo vituko. Mimi naweza kaa miezi hata sita sijakatiza huko sinza.
 
Nadhani kuna watu hawana ufahamu kuwa boksa ni aina ya chupi tu. Nakumbuka kuna siku niliwahi kuleta uzi nikisema niliwahi kupanda bodaboda mida ya alfajiri jamaa anaendesha amevaa boksa kuna watu wakadhani ni chai tu.
Wala sio chai sikuiz limegeuka vazi la kutokea kabisa
 
Halafa utasikia janaume fulani maeneo ya kule wapi sijui eti ana demu anataka kuoa anakaa Sinza aka ndembendembe rojorojo kitu laini maji kama yote bwereree

Ahahahha kwamba hawafai kuolewa
 
Mkuu we mgeni mjini?
Umekuja mjini na treni kufuatilia mafao yako nn?[emoji1787][emoji1787]
Yaani hayo ni mambo ya kuuliza kabisa au hujui kwamba huko mjini kuna pirau na biriani?

Ahahahah sio mgeni ila kuna vitu vinastajabisha
 
Biashara matangazo na wahamasishaji wakubwa Ni wateja wao wanaowasifu huku wakiwa uchi
 
Back
Top Bottom