Sinza baadhi ya watu acheni kukaa uchi, yaani wake kwa waume

Sinza baadhi ya watu acheni kukaa uchi, yaani wake kwa waume

Mkuu hili jambo ni Dar nzima, mikoani ni kiasi si sana. Dar watu wamevurugwa sana
Kuna jirani yangu ndio tabia yake sasakazoea naona morng unamkuta njee na boksa anafagia uwanja
 
Hellow africa

kuna mavazi ya kuvaa ukiwa kwenye hadhara ya watu na mengine sio mavazi rasmi kabisa ya kuvaa kwa watu

Sinza now day unakuta mwanaume kavaa boksa na kaoshi anazulula mtaani wala hana hofu yoyote ukipita uku unakutana na wadada nao wanavaa ivyo ivyo wengine taiti tu kitu ambacho sicho sawa

Mtu unavaa ivyo kwa dhumuni lipi hasa?
Where is the fotoglafu?
 
Kuna jirani yangu ndio tabia yake sasakazoea naona morng unamkuta njee na boksa anafagia uwanja
Mimi hii nyumba nayoishi kuna jirani toka nimehamia sijawahi kumuona na mwanandani, inawezekana huwa anavaa wakati mvua inanyesha tu
 
Skiliza nyimbo ya prof Jay ya BONGO DARESALAMA. then ujue kwamba hivyo vitu sio vipya.. vipo tangu miaka hiyo.
 
Back
Top Bottom