Sinza baadhi ya watu acheni kukaa uchi, yaani wake kwa waume

Sinza baadhi ya watu acheni kukaa uchi, yaani wake kwa waume

Mimi hii nyumba nayoishi kuna jirani toka nimehamia sijawahi kumuona na mwanandani, inawezekana huwa anavaa wakati mvua inanyesha tu
😂😂😂😂 kwahiyo unatak kusemaje?
 
Nimeiingia mnadani Corner Bar Sinza kupunguza nguvu na stress katika kuchagua wakunitumikia naangalia mapaja na trako sasa mvaa hijabu hapa haauzi.
 
Nimeiingia mnadani Corner Bar Sinza kupunguza nguvu na stress katika kuchagua wakunitumikia naangalia mapaja na trako sasa mvaa hijabu hapa haauzi.
😂😂😂 akili yako unaijua mwenyewe
 
Hellow africa

kuna mavazi ya kuvaa ukiwa kwenye hadhara ya watu na mengine sio mavazi rasmi kabisa ya kuvaa kwa watu

Sinza now day unakuta mwanaume kavaa boksa na kaoshi anazulula mtaani wala hana hofu yoyote ukipita uku unakutana na wadada nao wanavaa ivyo ivyo wengine taiti tu kitu ambacho sicho sawa

Mtu unavaa ivyo kwa dhumuni lipi hasa?
We umeona Sinza tu ? Fika Tabata ujionee dunia inaenda Kasi sana,
 
Kwa mwanamke utasema anauza mbunye yake haya kwa mwanaume nae auzankengele?
Magasho wazee wa upinde unajua wanavaaje au kwa kua ana madevu ndio yamekupagawisha ? Kuna uvaaji fulani hivi km amevaa jump suit sio jump suit yaan kibukta na vest Pana Pana mapaja yote nje

Kwa taarifa yako hao wenye madevu waangalie vizuri
 
Back
Top Bottom