Wanyasa ni wezi na hivi hawana proper address bongoMh...! Fedha haina kabila, fedha haina dini, fedha haina baba, fedha haina mama, fedha haina mke/mume. Kwenye mambo ya fedha usimwamini mtu yoyote na wkati wowote. Pigia mstari haya maneno. Mimi nilidhulimiwa na mnyasa (watu wanasema ni watu wapole) na alinikana kwa macho makavu kabisa bila kutetereka.
Unajua nimemshangaa sana aliposema kuna pisi pale..Si kwel...kunA madem wa sura za pombe tu pale..nyuso zmeivaa..sjui unanielewa lakin??
Nipe chaka jipya boss..Humo La Chaz ukiingia ndani hutoki na ukitoka basi kumekucha kabisaaa asubuhi na hapo mnaoiga chakula kitamu kabisaa pale njee😀😀hiyo sehemu ilikuwa ni balaa sanaaaa.....
Ilipoungua magot watu walimind sana piaDaah soko letu limeungua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....kumbe mtu akipanik usimshauri yani nimetoka kukushauri u cool down mara naitwa kahaba....daaaah nikamaind kichz nilitaka nimjibu hovyo ila nikakumbuka mbona nilijikuta nakushauri utulie....jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
gud mimi mwenyewe niko poa....Alinikwaza Nkamu, ila nipo poa now.
Wanapiga kiberiti, ili kupata double profit insurance...mjini mipangoWeee kumbee
Ha ha ha ze dudu mbavuu zangu[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]Kwa iyo unajiona wa maana sana kumpa huo ushauri......mi nasema bora iyo ela katumia kwenye pombe maana huko shambani angelia
Mmmmh mmmmh 1b??[emoji15][emoji15][emoji15]According to maza anaanmbia 1 bil hapo
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]si kweli. mama yako ni mhasibu pale? si kweli kabisa
Hebu agiza kukurost na kvant , bill kwangu[emoji122][emoji122]Hivi na wewe hujui roho za ki-maskini? Unadhani mtu ukiwa na uwezo kidogo katikatika ya maskini halafu ukiteleza watasikitika? Tena nchi yenyewe Tanzania?
Sasa we hujui [emoji102][emoji15][emoji15]Kumbe ni kale kawivu ka kike!
Ngoja nikureport kwanzaSababu Mama ako alikupata kwenye Kudanga unadhani kila mtu Mdangaji, Mbwa wewe!!!
ngoja ukae kwenye ignore list!!!!
Ameandika takatakaNi nini hicho umetaja hapo. Ni mtu anateketea kwa moto au ni kitabu?!
Sent using Jamii Forums mobile app