GwaB
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 4,291
- 5,786
Angalizo: kuna mtindo uliozuka wa wafanyabiashara wa kati kuchoma makusudi biashara zao kwa malengo ya kulipwa na bima hela ndefu. Chunguza matukio yote ya moto utabaini kitu, anza kwa kumsikiliza kwa makini msemaji mmoja kwenye hoteli iliyoungua leo Sinza... Inataka moyo.🤔ðŸ¤ðŸ¤«