Sinza, Dar: La Chaaz Bar yateketea kwa moto

mzee unachokiongea nakuelewa sanaa !! Nashangaa sijui kwanini baadhi ya watu wanashindwa kukuamini?

Mi mwenyewe nakumbuka enzi Za Maisha Club Masaki ilikua kutoka ni asubuhi kabisaaa saa moja na supu unakunywa pale nje ,kesho yake tena yaleyale unahama tu viwanja ..unaanza Magangaz kupiga shots za buku buku , Wantashi, maisha matamu sana 😁
 
Watu wengine kwa fix hamjambo aiseee so Million 7 kwa ajili ya kunywa tu?Uongo mwingine ni wa kipuuzi sana....Si bora unge ivest hiyo M7 shambani ukazalisha mazo au kununua kiwanja...
Siyo fix Mkuu ,kwa mtu mnywaji na una kampan hyo pesa kuunguza bar si jambo la ajabu,mimi tangu mwaka uanze hadi mwezi wa pili nime unguza milion 3 na upuuzi ,ila sahiv nimeacha kunywa nilipata allergy ya pombe
 
Mkuu wanaobisha ni waporipori hawajui kuitumia pesa kwenye starehe, mm hapo lachaz nilikuwa na ndugu zangu wawili, kuanzia ijumaa tunaunguza laki 2 mpaka 3 kwa siku, haya piga hesabu mwezi unaunguza sh ngap, watu wanabisha tu
 
Nimekusoma uzuri Mkuu
 
Watu wengine kwa fix hamjambo aiseee so Million 7 kwa ajili ya kunywa tu?Uongo mwingine ni wa kipuuzi sana....Si bora unge ivest hiyo M7 shambani ukazalisha mazo au kununua kiwanja...
Jamiiforum ni kama bongo movie
 
Jamiiforum ni kama bongo movie
Huwezi kuelewa sababu huzijui starehe za Tungi. Zile sio bangi kwamba msokoto wa buku unakutosha all night, Lile Ni Tungi usiku kucha pembeni wana, pembeni kahaba mkaaali, hata milion 20 haifui dafu. Inawaka nzima nzima unaiona.

Pale La Chaaz acha paungue tu labda Ni mapenzi ya Mungu.
 
Lord Eyes ndo zake hizo .
 
Mmmmh mmmmh 1b??[emoji15][emoji15][emoji15]

Ninakataa kwa nguvu zote, khaaaa chagas[emoji102][emoji88]

Mkuu unajua nin.. 1b ni hela nyingi sana ukiitamka mdomoni. Lakini ukipiga gharama ya kufanya investment eneo kubwa kama lile, kufanya renovations, ujumlishe na vikorokoro vyote vilivyoko pale, bado kama eneo amekodisha maanake amelipa kodi let say ya mwaka au miaka miwili, aisee hata kama haitafika b lakini m600 - 800 zinaweza katika.
 
Inategemea ntu na ntu! kUna jamaa mmoja alinikuta kiwanja chenye watoto wakali anacheka sana na kuniambia niongozane naye akanionyeshe chenye watoto wakali. Kwenda nikakuta ni madungayembe tu.
Ukitaka watoto wakal nenda kidiwise au pale tanzanite building victoria kwenye swiming pool kule juu
 
Zamani igo bar daah vikao vya nancy wa rahatupu tulikua tunafanyia pale.....
Dah mkuu ukinitajia Igo bar nakumbuka ndio harmonize anatoka na ile nyimbo yake ya kwanza nilivoona masista du wa maana wanaamka kwenda kuicheza ndio nikaanza kumfatilia huyu msanii ni nani hahahha long https://jamii.app/JFUserGuide ago
 
Hiv nyinyi vijana wa dot com mnaijua 1b kwel?...au hata hyo 800 au 600...mnaijua kwel au ndo stor za vijiwen....mtuulize sis wenye mijengo.kwa haraka haraka pale lachaz naweza kwambia na mbwbwe zoote zile haizid 250m......usichanganywe ma zile mbao za pellets pale..zile ukizitaka nakupeleka had wanakouza moja 600..mi ka glocery kangu somwea nimeweka hvyo hvyo kama lachaz...achen ku imagine vtu....

Mbongo anajenga nyumba ya 300m ..anakuja tangazia watu oooh hii 800m...nakaaga nasema dah...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…