ChickMagnet
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,676
- 3,451
mzee unachokiongea nakuelewa sanaa !! Nashangaa sijui kwanini baadhi ya watu wanashindwa kukuamini?Watu wanapachukulia poa pale... Ukiingia saa tano usiku hutoki unajikuta imefika saa saa 12 asubuhi.. ukitoka mule lounge unaona nje wanafagia na msanii yule wa Nako2Nako Yuko counter ya nje anamalizia kuomba omba bia pale kwa Madon.
Wamasai na Mabaunsa wote wamelewa, Dada zangu Makahaba waliochunda nao wamelewa balaa.
Mjomba ako nlikuwa nakaa nyuma ya wanyama Hotel, naenda kupumzika tu jioni mapema niko naanzia Tegeta pale China Bar pametulia ikifika saa tano Niko La Chaaz humo ndio nafanya unyama.
Niliteketeza hela pale La Chaaz to the extent nikapachukia saana.
Mi mwenyewe nakumbuka enzi Za Maisha Club Masaki ilikua kutoka ni asubuhi kabisaaa saa moja na supu unakunywa pale nje ,kesho yake tena yaleyale unahama tu viwanja ..unaanza Magangaz kupiga shots za buku buku , Wantashi, maisha matamu sana 😁