Sinza, Dar: La Chaaz Bar yateketea kwa moto


Mkuu hebu twende taratibu. Kwa mfano kukodi eneo kama lile kwa mwezi we unadhani anaweza akawa analipa bei gani?
 
Kumbe kwa 300M naweza aanzisha Bar kali huko sinza ausio
 
Kudadadeki
 
Ukitaka watoto wakal nenda kidiwise au pale tanzanite building victoria kwenye swiming pool kule juu
Kidiwise unamaanisha Kidimbwi....?
hapo Tanzanite building,Victoria bar ipo floor ipi!??
 
Mkuu hebu twende taratibu. Kwa mfano kukodi eneo kama lile kwa mwezi we unadhani anaweza akawa analipa bei gani?
Mkuu...mjini mipango yule urio ni born town kitambo..na wenzio wanavyofanya investment kama hyo usidhan wanafanya fanya tu..kwanza ..mule ndan anaweka appliances zote used..kuanzia Ac..TV..mziki ..vile vitu vya electronics..hawanunuag vipya wajanja hata sku1..pale chin si umeona tiles vipande vipande..kuna sehem vinauzwa vile vipande...vilivyopasuka....majiko yake ni ya kawaida sana..viti ndi usiseme..katumia mbao za pelets..yaan zile mbao ukinunua za lak5..zinafanga maajabu..mabango ya nje kidogo ndo atakua kanunua nunua bei nzur....labda na paa lake...rang sjui na takataka zingne..bei ya kawaida tu..

Kodi ndo atakua anapasuka pale..si chin ya 5m.sasa ukipiga hyo kwa haraka haraka kwanza hata hyo 250m nimezidisha
 
Humu ndani kumejaaa watoto wengi sana under age maana hata comment zao unaziona tu za kitoto kitoto ukifatilia wote wadogo na wanafunzi wa maisha na hawayajui maisha hata kidogo....wanaona sifa kujisifia wanakunywa pombe za mamilioni.....ila zaidi watu tumetofautiana kwa kiasi kikubwa sana kiakili na kimaendeleo....
 
Hahaha acha dhereu, last minute ilikula si chini ya 150M! Ndugu yangu ndio aliisimamia design toka inaanza to the end.
Kuna kitu gani kipya pale ambacho kitaweza kufika hiyo hela kama wengine wanavyosema zile mbao mbao au??tuwe serious humu ndani....na ndugu yako alisimamia design yes what about material coz hapo umeongea vitu viwili tofauti kabisaaa..... Unaweza kuwa na design yes na still ukajenga affordable house...
 
Ila kuongea rahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…