TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 5,771
- 17,849
Hiv nyinyi vijana wa dot com mnaijua 1b kwel?...au hata hyo 800 au 600...mnaijua kwel au ndo stor za vijiwen....mtuulize sis wenye mijengo.kwa haraka haraka pale lachaz naweza kwambia na mbwbwe zoote zile haizid 250m......usichanganywe ma zile mbao za pellets pale..zile ukizitaka nakupeleka had wanakouza moja 600..mi ka glocery kangu somwea nimeweka hvyo hvyo kama lachaz...achen ku imagine vtu....
Mbongo anajenga nyumba ya 300m ..anakuja tangazia watu oooh hii 800m...nakaaga nasema dah...
Mkuu hebu twende taratibu. Kwa mfano kukodi eneo kama lile kwa mwezi we unadhani anaweza akawa analipa bei gani?