Sinza, Dar: La Chaaz Bar yateketea kwa moto


Dah maisha ya kuigiza haya mimi mbona yamenishinda [emoji848]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila fresh tu. Acha watu wafurahi. Wayaishi waliyoyachagua tuu ila tusisiskie malalamiko.
 
Ha ha ha 1b kwenye bar?! La Chaz! Bilioni moja....hivi hawa vijana wanajua jengo la bilioni moja?!! Inhiiiiiii kwa sauti ya Chato!
 
Kwa akili zako kidogo tu ulizonazo, unaamini kwamba heavy investment kama hiyo haikuwa na bima ya moto? Unafahamu kwamba wapo wanaochoma magari na majengo yao kwa makusudi ili walipwe fedha nyingi mara 5 ya thamani ya kilichoungua? Na hii michezo wanashirikiana na maafisa wa Fire, bima na mwenye mali, wote wanagawana mgao
 
Ha ha ha 1b kwenye bar?! La Chaz! Bilioni moja....hivi hawa vijana wanajua jengo la bilioni moja?!! Inhiiiiiii kwa sauti ya Chato!
Mkuu ndio vijana wa sasa hawa sijui kama wanaijuwa hiyo amount maana hiyo hela ni bajeti ya wizara fulani wenyewe wanasema mtu ka invest kwenye bar...
 
Dah maisha ya kuigiza haya mimi mbona yamenishinda [emoji848]
Kwa sisi watoto wa mjin ni kawaida kipind hiki cha magu enz zetu tulikua hatuigiz. Ila kwasasaa ukijifanya mjuaj utapotea kwenye raman...tuliozoea hayo maisha inabid tuigize tuu hakuna namna...
Na tunawekeza vile vile,....yanin nitumie laki mbili akat hyo laki mbili naweza enda paka rangi mpya magoli yangu yakangaa na kuendelea ita wateja zaid na zaid mkuu
 
Watu wanahisi 100M ni hela ya kutisha, zama hizi hio ni hela ya kawaida sana. Enzi za Mchonga ndio ilikuwa ni kufuru ila kwa sasa wananchi wengi wenye zaidi ya miaka 10 katika biashara zinazolipa wana hio hela kwenye account zao.
 
Shida zote hizo ili uonekane mtu wa aina fulani?! What's wrong with being who you are?! Kweli nishazeeka.

Nahisi tumezeeka wote maana na mimi haya maigizo siyawezi
Kama sina natulia tu,sina ninae shindana nae au wa kumu impress,nakimbizana na malengo yangu tu....
Ndio maana nawaogopa wakaka wa mjini huwa hata siwatazami mara mbili mbili[emoji1430]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…