Maya Angelou
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 1,086
- 2,576
Mipango baba..na ubahili...kiingilio elf10 ndugu yangu unashindwa?...unaingia unaagiza red label kachupa kadogo kale .unamwambia weita akuletee na kvant tayar keshaiweka kwenye li glas likubwa achanganye huko huko na tonic aweke ndimu inakuja pale kama cocktail...na chuoa ndogo ya red label unaonekana mtashaaaa...unaagiza vichips kadhaa na tumishkak..umevaa umependeza ni shades za hatar...unaweka funguo mezan ...watoto wanapita unanukia perfume moja ya hatar....watoto wanajileta tuu.hao bongo muv na wasanii tunapishana nao tu wanakodoa macho wanataman uwanunulie pombe.kumbe wew una budget yako ya elf 50 tuh hapo mbwembwe zote hzo......mtu akikuchek anajua jamaa liko vzurr hili.hahahaha..kumbe mipango tu...unafanya hvyo mara1 a week....huku ukisave pesa nyingne unawekeza kwenye magoli yako ....mjin mipango..hakikisha una source za income nying mzee baba...
Dah maisha ya kuigiza haya mimi mbona yamenishinda [emoji848]