miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Si wakidangiwa[emoji23][emoji23]Malalamiko gani mkuu.
Mkuu ukiambiwa uweke prove kama yupo kwenye Grid utaweza au ndio utatupiga maneno tu hapa ?Siongeag na watu wa mkoani.
Madame.. tusibishane sana. Siyo kwa story za vijiweni. Kuna kibiashara chetu tuu tulikiboresha hiyo hela iliyoenda hapo roho inakuumaa sema ndo hivyo unaboresha uweke mazingira poa kama bond ya mikopo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna uhalisia kabisa hapo
Na ukikaa sana ndan michongo na elimu za utaftaj huwez kuwa nazo..na ndo hapo watu wanapopigwa ma gap....toka nje jifunze...akili ina changamka unaona dah.kumbe niko nyuma ya muda eeh wenzangu wanasonga mbele.kaa na watu ongea nao.michongo huja kiutan utan ma huwez amin....mwaka jana nakumbuka tulikua mahala flan kwenye pombe hiz hiz..kuna jamaa katika stor na washkaj akawa anatafta catering kwenye event flan ya awards hiz za mwisho wa mwaka huwez amin...niliudaka ule mchongo as if nna catering ..nikamrushia dada angu m1 akanitoa 1m ya buuure kabisaaa..
Sio hilo ..yapo meng..sis wengne tumejifunza ujasiriamal hukuhuku kwenye michanganyiko....wee kaa ndan dada angu ..kama ni mke wa mtu endelea hvyo hvyo for safety..ila kama ni mdada ...kukaa ndan sio sifa
Dada.usijisumbue kubishana nao..hao ni vijana wa maongez tu...hawajui chochote.sie wengne..sijikwezi..ila wazee wetu wanainvestments hyo la chaz takataka..so tunajua mambo yanafanywaje..we achana nao...usibishane nao.....hata mzee wangu mwenyew kama hakujui ukimuuliza mambo yake anaongeza masifuri...Mavyuma yote pale ni chakavu, vimepigwa brush, rangi tu
Unajitia aibu kaka ..acha huu mjadala.Siongelei kukisia, maana hapa watu wanakataa kuwa haifiki 1 billion kwa kukisia in negative view. Nimeiweka kwenye kila kitu kachukua kipya , kama mengine amechajachukua sijui. Ila kwa makadirio ya pale bila kuwa na negative view, 1 billion inafika. Sidhani kama Bima alipeleka mahesabu ya vitu chakavu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acheni ujinga.[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji16] anazingua huyu, baa imeungua jana leo ndo kapata mzux wa kwenda
Ubaya ni kWamba hivyo vijiwe huwezi kaa bila mtaji. Lazma uwe na hela ya starter.
Mkuu kuna vijiwe vizuri tu, ukiwa na buku 10 inatosha unakuta na watu wa kila aina walio smart. Kikubwa ubaenda umevaa zako vizuri kabisa smart, park mkangafu wako nje pale. Zamia ndani agiza zako Americano au Cappuccion majira ya jioni. Tulia pale sio kila saa simu, unonesha kama mtu unae waza na kufikiria mbali .. achana na mambo ya mademu wala story za mademu mademu.. mbona connection i ajileta tuUbaya ni kWamba hivyo vijiwe huwezi kaa bila mtaji. Lazma uwe na hela ya starter.
[emoji91][emoji91][emoji847][emoji847][emoji847]Kwa sisi watoto wa mjin ni kawaida kipind hiki cha magu enz zetu tulikua hatuigiz. Ila kwasasaa ukijifanya mjuaj utapotea kwenye raman...tuliozoea hayo maisha inabid tuigize tuu hakuna namna...
Na tunawekeza vile vile,....yanin nitumie laki mbili akat hyo laki mbili naweza enda paka rangi mpya magoli yangu yakangaa na kuendelea ita wateja zaid na zaid mkuu
Hakuna cha aibu, hapa kuna pande mbili. Wapo wanao sema inafika 1 billion na wana sababu zao, na wapo wanao sema haifiki hiyo 1 billion pia wana sababu zao. Kila mtu abaki anavyo amini naona itakuwa nzuri, tusilazimishaneUnajitia aibu kaka ..acha huu mjadala.
Yaani kuitaja ni nyingi lakini ukiwa nayo mkononi ndo utaelewa kama ni ndogo... mtu anakubishia na hajawahi kuwa field ya hizo mishe.1 billion ni pesa ndogo sana kwenye uwekezaji. Kwa wafanya biashara wanajua, ila kwa mtu wa kutenga mikono hawezi elewa anaona ni hela nyingi sana
Mbaya zaidi uwe na marejeshoWapokea mishahara ukitaja 1 billion, wanaona kama hela kubwa sanaa.. wakati hela ya kingese sana hiyo kwenye investment. Tena usipoweza manage vizuri lazima ufurahi na roho yako
Unafosi tuu kaka....ule usemi wa force tuu mpaka itiki umeusahau...we huon skuhiz wana weng maeneo wanakunywa ngumu...Ubaya ni kWamba hivyo vijiwe huwezi kaa bila mtaji. Lazma uwe na hela ya starter.
Duh,Yah kwenye biashara hela hio madogo tu kina fredy vunjabei wanacheza nayo ila mtu anaesubiria Makato ya HESLB, PAYE, WCF na NSSF lazma aone miujiza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndo kama topic ya ujenz wa ghorofa. Watu ukiwatajia amount wanaona kama umepigwa si mjanja ama unakuza mamboYah kwenye biashara hela hio madogo tu kina fredy vunjabei wanacheza nayo ila mtu anaesubiria Makato ya HESLB, PAYE, WCF na NSSF lazma aone miujiza.
Watu humu wana mawazo yao na kuna namna walivyo amua kuamini na kufikiri. Kwenye uwekezejai mkubwa kama ule sishangai kutumika 1 billion, mie nina bosi wangu alikuwa amewekeza kwenye aina flani ya mradi hadi alikuwa anatamani kulia hela zinavyokata, unakuta anachukua hata 11 billion inakatika jamaa alikuwa analia lia tu, na ndipo nikaona hizi hela nyingi sana kuzitaja na kwa sie ambao tunaganga njaa . Ila ukija kwenye uwekezaji ndio utaona inavyokata mafutaYaani kuitaja ni nyingi lakini ukiwa nayo mkononi ndo utaelewa kama ni ndogo... mtu anakubishia na hajawahi kuwa field ya hizo mishe.
Pumbavu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siongeag na watu wa mkoani.
Lazima uchanganyikiwe, na kama ujuavyo uchumi na soko zima la safaru duniani limepitia kashi kashi, kutokana na corona. Lazima upagaweMbaya zaidi uwe na marejesho