Sinza, Dar: La Chaaz Bar yateketea kwa moto

Sinza, Dar: La Chaaz Bar yateketea kwa moto

Hakuna uhalisia kabisa hapo
Madame.. tusibishane sana. Siyo kwa story za vijiweni. Kuna kibiashara chetu tuu tulikiboresha hiyo hela iliyoenda hapo roho inakuumaa sema ndo hivyo unaboresha uweke mazingira poa kama bond ya mikopo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Urio si mjinga. Mjini hatuwagi na biashara moja. Unawekeza huku unahamisha huku. Ujenzi heshma sana.
 
Na ukikaa sana ndan michongo na elimu za utaftaj huwez kuwa nazo..na ndo hapo watu wanapopigwa ma gap....toka nje jifunze...akili ina changamka unaona dah.kumbe niko nyuma ya muda eeh wenzangu wanasonga mbele.kaa na watu ongea nao.michongo huja kiutan utan ma huwez amin....mwaka jana nakumbuka tulikua mahala flan kwenye pombe hiz hiz..kuna jamaa katika stor na washkaj akawa anatafta catering kwenye event flan ya awards hiz za mwisho wa mwaka huwez amin...niliudaka ule mchongo as if nna catering ..nikamrushia dada angu m1 akanitoa 1m ya buuure kabisaaa..

Sio hilo ..yapo meng..sis wengne tumejifunza ujasiriamal hukuhuku kwenye michanganyiko....wee kaa ndan dada angu ..kama ni mke wa mtu endelea hvyo hvyo for safety..ila kama ni mdada ...kukaa ndan sio sifa

Najichanganya kwenye bata za level yangu
Huko kwa kishua siwezi kumantain kila siku
 
Mavyuma yote pale ni chakavu, vimepigwa brush, rangi tu
Dada.usijisumbue kubishana nao..hao ni vijana wa maongez tu...hawajui chochote.sie wengne..sijikwezi..ila wazee wetu wanainvestments hyo la chaz takataka..so tunajua mambo yanafanywaje..we achana nao...usibishane nao.....hata mzee wangu mwenyew kama hakujui ukimuuliza mambo yake anaongeza masifuri...

Mzee wangu akikuuzia nyumba 60m...ujue yeye kajenga kwa 40m...materials zote analetewa kwa bei nusu...mbao ya 2×4 wew unanunua elf mwenzio ananunua elf4500....we unaweka flat tv kwenye hotel umenunua lak5 yeye kanunua used lak3 ..bila hvyo mjini hakuend..na sio kwamba hana hela dada angu.
 
Bora hizi bar zote zimalizike tu.
Walevi hawana kheri. Na ndio wasambaza maradhi ya zinaa nchini.
Ziungue zote tu.
 
Siongelei kukisia, maana hapa watu wanakataa kuwa haifiki 1 billion kwa kukisia in negative view. Nimeiweka kwenye kila kitu kachukua kipya , kama mengine amechajachukua sijui. Ila kwa makadirio ya pale bila kuwa na negative view, 1 billion inafika. Sidhani kama Bima alipeleka mahesabu ya vitu chakavu
Unajitia aibu kaka ..acha huu mjadala.
 
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji16] anazingua huyu, baa imeungua jana leo ndo kapata mzux wa kwenda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acheni ujinga.
Ila umeumia sana aisee. Seems unalipenda sana hili chimbo.
Mimi pia nimeumia kwasababu ni jamaa yetu na twafanya biashara wote. Jamaa ni mpambanaji. Yatakwisha haya. Sema tunavyoweka midomo hivi ndo kama tunawapa pressure kampuni husika ya bima kuweka uzito aisee. Na ukizingatia ndo mmopo dah
 
Ubaya ni kWamba hivyo vijiwe huwezi kaa bila mtaji. Lazma uwe na hela ya starter.

Unaweza kujikuta unateketeza kimtaji kwa kwenda sehemu za gharama sana
Hio 50k naweza kuspend sehemu nyingine bila stress na nikaenjoy pamoja na kujichanganya na watu
 
Ubaya ni kWamba hivyo vijiwe huwezi kaa bila mtaji. Lazma uwe na hela ya starter.
Mkuu kuna vijiwe vizuri tu, ukiwa na buku 10 inatosha unakuta na watu wa kila aina walio smart. Kikubwa ubaenda umevaa zako vizuri kabisa smart, park mkangafu wako nje pale. Zamia ndani agiza zako Americano au Cappuccion majira ya jioni. Tulia pale sio kila saa simu, unonesha kama mtu unae waza na kufikiria mbali .. achana na mambo ya mademu wala story za mademu mademu.. mbona connection i ajileta tu
 
Kwa sisi watoto wa mjin ni kawaida kipind hiki cha magu enz zetu tulikua hatuigiz. Ila kwasasaa ukijifanya mjuaj utapotea kwenye raman...tuliozoea hayo maisha inabid tuigize tuu hakuna namna...
Na tunawekeza vile vile,....yanin nitumie laki mbili akat hyo laki mbili naweza enda paka rangi mpya magoli yangu yakangaa na kuendelea ita wateja zaid na zaid mkuu
[emoji91][emoji91][emoji847][emoji847][emoji847]
Akili kumkichwa mkuu... hatupaswi kuishi kuwafurahisha wengine. Kwanza sasa hv show off hizi unashangaa TRA hawa hapa[emoji23]
 
Unajitia aibu kaka ..acha huu mjadala.
Hakuna cha aibu, hapa kuna pande mbili. Wapo wanao sema inafika 1 billion na wana sababu zao, na wapo wanao sema haifiki hiyo 1 billion pia wana sababu zao. Kila mtu abaki anavyo amini naona itakuwa nzuri, tusilazimishane
 
1 billion ni pesa ndogo sana kwenye uwekezaji. Kwa wafanya biashara wanajua, ila kwa mtu wa kutenga mikono hawezi elewa anaona ni hela nyingi sana
Yaani kuitaja ni nyingi lakini ukiwa nayo mkononi ndo utaelewa kama ni ndogo... mtu anakubishia na hajawahi kuwa field ya hizo mishe.
 
Ubaya ni kWamba hivyo vijiwe huwezi kaa bila mtaji. Lazma uwe na hela ya starter.
Unafosi tuu kaka....ule usemi wa force tuu mpaka itiki umeusahau...we huon skuhiz wana weng maeneo wanakunywa ngumu...

Mim nikienda mahala sabab sijaoa..80% ya mim kuwa hapo ni women..na 20% ni michongo.hahahahha
 
Yah kwenye biashara hela hio madogo tu kina fredy vunjabei wanacheza nayo ila mtu anaesubiria Makato ya HESLB, PAYE, WCF na NSSF lazma aone miujiza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndo kama topic ya ujenz wa ghorofa. Watu ukiwatajia amount wanaona kama umepigwa si mjanja ama unakuza mambo
 
Yaani kuitaja ni nyingi lakini ukiwa nayo mkononi ndo utaelewa kama ni ndogo... mtu anakubishia na hajawahi kuwa field ya hizo mishe.
Watu humu wana mawazo yao na kuna namna walivyo amua kuamini na kufikiri. Kwenye uwekezejai mkubwa kama ule sishangai kutumika 1 billion, mie nina bosi wangu alikuwa amewekeza kwenye aina flani ya mradi hadi alikuwa anatamani kulia hela zinavyokata, unakuta anachukua hata 11 billion inakatika jamaa alikuwa analia lia tu, na ndipo nikaona hizi hela nyingi sana kuzitaja na kwa sie ambao tunaganga njaa . Ila ukija kwenye uwekezaji ndio utaona inavyokata mafuta
 
Back
Top Bottom