miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Si wakidangiwa[emoji23][emoji23]Malalamiko gani mkuu.
Maana hapo wadangaji wanazama halaf wanatolewa kavu wakiachwa wanaanza lalamika wanawake wengine hawafai kumbe waliwaonyeshea uhalisia feki[emoji23][emoji23][emoji23]