Sinza, Dar: La Chaaz Bar yateketea kwa moto

Tukupe uzi mzee baba La Napole maana umeumiliki
 
Jamaa yupo Smart tu angalia suala limeanzaje, akitaka kufanya marketing ya chimbo lake nafikiri atatangaza na ID nyengine ambayo sio famous.
Achana na vijana hawa. Wanahis muda unawasubiri..wanahis u need an extra cash to start somethin ...tatzo hawana hata clue ya whats realy goin on huku kwenye biashara....yule fredy vunjabei katajirikia kariakoo..jamaa sio muoga ndo kinachompa pesa.haogop kuweka hela. .pale kkoo kama unajua mifumo ya pale unatajirika in a minute...mim mwakan ndo naingia rasmi kkoo.mentor wangu amemaliza kaz nimebak mim tuu kuingia miguu miwil kkoo. Hapo kkoo kuna pesa had unaweza hisi ni miujiza..so waache vijana waendelee na day dreaming
 
Wewe ni muhuni


Hebu taja maeneo unahisi ukienda chenji haibaki ni full kuinjoi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah lol
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ bwana mdogo weee unamaliza chuo mimi nikiwa Senior consultant I na hapo lazima upitie:
  1. Analyst II
  2. Analyst III
  3. Associate Consultant
  4. Consultant I
  5. Consultant II
  6. Sr. Consultant I
  7. Tafuta kujua kila nafasi 1 inatumia muda gani kupanda.
Nenda ka-bragg kwa wajinga wenzio bwn mdogo.

Welcome to my world.
 
Jamaa yupo Smart tu angalia suala limeanzaje, akitaka kufanya marketing ya chimbo lake nafikiri atatangaza na ID nyengine ambayo sio famous.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huyu huyu anaelia lia humu khs vibinti uchwara kila siku mkuu?

Dogo ni furahisha genge huyo.
 
Mm sehemu kama sinza siendi huko. Lazima nikutane na watu nilisoma nao watataka kuchomeka USB. Ni mwendo wa Hoteli kubwa tu nikifika kama kawa wananifahamu tabia yangu. Nichemshie mchicha fungu moja na mayai mawili ya kuchemsha. Juice kidogo alafu hpo lazima juice niache nusu na yai nabakiza moja. Nusu saa baadae naagiza glass ya wine huku nabeti simu nyingine naongea na wanangu wa ulaya. Ya nini kukaa sehemu muhudumu anakuja kutingisha chupa
 
Well explained! A million dollar attitude. [emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…