Tuwekee Bank Statement ya 2020ππ bwana mdogo weee unamaliza chuo mimi nikiwa Senior consultant I na hapo lazima upitie:
Nenda ka-bragg kwa wajinga wenzio bwn mdogo.
- Analyst II
- Analyst III
- Associate Consultant
- Consultant I
- Consultant II
- Sr. Consultant I
- Tafuta kujua kila nafasi 1 inatumia muda gani kupanda.
Welcome to my world.
Infact nimeitelekeza bas tu inasurvive ila nimeiweka sokon nauza vtu vyote...Sasa ushuani ndo kwenye hela na wako watu wazima, lazima kuna sehemu unakwamaa wee.
Soo what...being that..soo what...you had ur time. I got mine...[emoji23][emoji23] bwana mdogo weee unamaliza chuo mimi nikiwa Senior consultant I na hapo lazima upitie:
Nenda ka-bragg kwa wajinga wenzio bwn mdogo.
- Analyst II
- Analyst III
- Associate Consultant
- Consultant I
- Consultant II
- Sr. Consultant I
- Tafuta kujua kila nafasi 1 inatumia muda gani kupanda.
Welcome to my world.
Hahahaha....bro...livin in different worlds..mim nna bachelor with horns from udsm class 2013..tena Coet...ni vile niko hiv yaan...mtoto wa mjin halaf nna akili kichwan..[emoji23][emoji23][emoji23] huyu huyu anaelia lia humu khs vibinti uchwara kila siku mkuu?
Dogo ni furahisha genge huyo.
π Sweet as pieImeisha hiyoooooh
Sasa itakuwaje ?
Eddie Griffin Avatar.Hahahaha....bro...livin in different worlds..mim nna bachelor with horns from udsm class 2013..tena Coet...ni vile niko hiv yaan...mtoto wa mjin halaf nna akili kichwan..
Sio wew tu ambae hunielew .hata sekondar pia walikua hawanielew hata chuo pia...muaandaaj wa ma concert..tours lakin wakija kwenye pepa nawakamata...tunakesha club ..i ve been that way ever since....mi nmenunua gar yangu ya kwanza niko chuo mwaka wa pili...gx 100 used kwa mil5...hahahah.harakat kitambo bro
MBONA SIJAONA SEHEMU YA KUOPOA CHOMBO...YAANI NITUMIE 50 KUNYWA NA KULA BILA KUOPOA MZIGO... HAPANA WEEKEND NOT WELL SPENT..Okay ...am home now..soo lets start like this
Pendeza..nukia...dont wear cheap fragrance..yaan uwe na scent ile ambayo ukipishana na mtu anageuka..lavender si lavender yaan unukie vzur..ujue sis wengne uki wear cheap perfume tunajua[emoji16]
Okay..kwenye nguo najua utakua unajua mwenyew..iwe casual or ki executive fresh tuu
Sasa ukifika pale..usiende kukaa kwenye kiti..maana utamu attract muhudum aje akuskilize..na hapo tayar umefanya kosa
Ukiingia tu moja kwa moja nenda kaunta cheka na mtu wa kaunta kama unamjua vile..kwa sisi wenye sound hii ni kitu rahis sanaaa[emoji16]
Pale sasa..kama unakunywa pombe..usiagize ma bia bia.achana nayo..kama kuna shots you can handle mwambia nipe shot unashtua kwanza..kwa sie ma konki ambao tayar ni famous maeneo hayo..shot ya 4000 nauziwa buk3 na wale wadada[emoji3]....
Kwanza kama kuna mtu hapo anakuangalia atasema dah huyu dada ni foreigne nin..maana una confidence ya hatar...
Hapo inakua tayar buku 4 imeenda...unakaa sasa unamwambia muhudum kama ana spirits au kilev chochote chenye kuanzia 35%...or kama hunywi pombe bas unaagiza chochote hapo nzur ni juice au hata cocktail flan ambayo haina kilev kikal..kama ni mtu wa pombe bas unamwambia akupe red label au k vant or wateva kachupa kadogo..mwambie akupe na li glass likubwa lile. Yaan hapo unaongea nae kama mshkaj kwa confidence. "akuwekee humo kwenye li glass lile la cocktail kubwa akuwekee na limao juu. Yaan aipambe glass vzur..halaf unachkua glass yako then unaenda kaa..kwa wewe mdada nenda kakae kwenye kochi usikae kwenye kiti kigum..tena kwa jeur unakaa hapo na kamto unakaweka vzur unaegemea na miguu kama una mguu mzur unauweka kama umekaa kwenye kochi la nyumban..aisee..mi ukinikuta na shemej yako maeneo.utadhan tuko sebulen kwetu...sasa ukifika muda wa msos...kwanza nilisahau..kama mfuko hauko vzur toka kwako umeshiba kabisaa..pale unafika muda unamwita muhudum akuletee mishkak ile mikubwa miwil. Kwa mdada unashiba kabisa..mishkak yetu ile huwa ni elf4 mmoja..ila ipo ya elf mbili..agiza akuletee pale . Hapo glass lako unavuta tuu mdogo mdogo na straw/mrija..hapo aisee unaweza kaa mda wowote..ukiona kinywaj kimekolea sana na kama una drive..bas badae agiza vimaj unakunywa mdogo mdogo..unashangaa umetumia 50 tuu na umeburudika swaaaf....nenda sehem za kijanja..dj mjanja..sio unaenda mahala dj anapiga bongo fleva tuu kelele nyiiing au bolingo..mi huwez nikuta huko...mi nikiskia johm delinga anapiga mahala nipo..ma dj wajanja wale kina peter more etc..wapo ma dj wajanja hata samak samak..yaan unakula mzik mtamu...ukimaliza hapo unaondoka zako...weekend well spent.
pumbavu.. πππ hii comment ya kibabe sana.. alivomaliza sasa..Mm sehemu kama sinza siendi huko. Lazima nikutane na watu nilisoma nao watataka kuchomeka USB. Ni mwendo wa Hoteli kubwa tu nikifika kama kawa wananifahamu tabia yangu. Nichemshie mchicha fungu moja na mayai mawili ya kuchemsha. Juice kidogo alafu hpo lazima juice niache nusu na yai nabakiza moja. Nusu saa baadae naagiza glass ya wine huku nabeti simu nyingine naongea na wanangu wa ulaya. Ya nini kukaa sehemu muhudumu anakuja kutingisha chupa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]Mm sehemu kama sinza siendi huko. Lazima nikutane na watu nilisoma nao watataka kuchomeka USB. Ni mwendo wa Hoteli kubwa tu nikifika kama kawa wananifahamu tabia yangu. Nichemshie mchicha fungu moja na mayai mawili ya kuchemsha. Juice kidogo alafu hpo lazima juice niache nusu na yai nabakiza moja. Nusu saa baadae naagiza glass ya wine huku nabeti simu nyingine naongea na wanangu wa ulaya. Ya nini kukaa sehemu muhudumu anakuja kutingisha chupa
Haaaaahaaaaahaaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji1787]Okay ...am home now..soo lets start like this
Pendeza..nukia...dont wear cheap fragrance..yaan uwe na scent ile ambayo ukipishana na mtu anageuka..lavender si lavender yaan unukie vzur..ujue sis wengne uki wear cheap perfume tunajua[emoji16]
Okay..kwenye nguo najua utakua unajua mwenyew..iwe casual or ki executive fresh tuu
Sasa ukifika pale..usiende kukaa kwenye kiti..maana utamu attract muhudum aje akuskilize..na hapo tayar umefanya kosa
Ukiingia tu moja kwa moja nenda kaunta cheka na mtu wa kaunta kama unamjua vile..kwa sisi wenye sound hii ni kitu rahis sanaaa[emoji16]
Pale sasa..kama unakunywa pombe..usiagize ma bia bia.achana nayo..kama kuna shots you can handle mwambia nipe shot unashtua kwanza..kwa sie ma konki ambao tayar ni famous maeneo hayo..shot ya 4000 nauziwa buk3 na wale wadada[emoji3]....
Kwanza kama kuna mtu hapo anakuangalia atasema dah huyu dada ni foreigne nin..maana una confidence ya hatar...
Hapo inakua tayar buku 4 imeenda...unakaa sasa unamwambia muhudum kama ana spirits au kilev chochote chenye kuanzia 35%...or kama hunywi pombe bas unaagiza chochote hapo nzur ni juice au hata cocktail flan ambayo haina kilev kikal..kama ni mtu wa pombe bas unamwambia akupe red label au k vant or wateva kachupa kadogo..mwambie akupe na li glass likubwa lile. Yaan hapo unaongea nae kama mshkaj kwa confidence. "akuwekee humo kwenye li glass lile la cocktail kubwa akuwekee na limao juu. Yaan aipambe glass vzur..halaf unachkua glass yako then unaenda kaa..kwa wewe mdada nenda kakae kwenye kochi usikae kwenye kiti kigum..tena kwa jeur unakaa hapo na kamto unakaweka vzur unaegemea na miguu kama una mguu mzur unauweka kama umekaa kwenye kochi la nyumban..aisee..mi ukinikuta na shemej yako maeneo.utadhan tuko sebulen kwetu...sasa ukifika muda wa msos...kwanza nilisahau..kama mfuko hauko vzur toka kwako umeshiba kabisaa..pale unafika muda unamwita muhudum akuletee mishkak ile mikubwa miwil. Kwa mdada unashiba kabisa..mishkak yetu ile huwa ni elf4 mmoja..ila ipo ya elf mbili..agiza akuletee pale . Hapo glass lako unavuta tuu mdogo mdogo na straw/mrija..hapo aisee unaweza kaa mda wowote..ukiona kinywaj kimekolea sana na kama una drive..bas badae agiza vimaj unakunywa mdogo mdogo..unashangaa umetumia 50 tuu na umeburudika swaaaf....nenda sehem za kijanja..dj mjanja..sio unaenda mahala dj anapiga bongo fleva tuu kelele nyiiing au bolingo..mi huwez nikuta huko...mi nikiskia johm delinga anapiga mahala nipo..ma dj wajanja wale kina peter more etc..wapo ma dj wajanja hata samak samak..yaan unakula mzik mtamu...ukimaliza hapo unaondoka zako...weekend well spent.
Hata sio mimi asee poleHuo msuko nimeupenda....umri ni namba tu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787]Walitoka na kilo tatu fasta siku nimekanyaga pale, na ilikua vimasaa kadhaa tu huyu sister alitaka mchemsho.
Badae tukaishia Ambiance kukesha Milioni itakua iliisha siku hiyo.
Ila du yule bibie ule mpododo wake ilikua balaa, lainii we mwenyewe Witt humpati,
Niliishia kubambia tu na ni member humu.
Mi hapo siwaelewagi wanaume wenzangu,demu km huyo unamtosaje?
Yani kwangu ningekua namwogesha,paka mafuta naterezesha tu.
Alafu nikawa mtiifu kweli
Haaahaaahaa...tutajie location banaa, tuje tukuungishe[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787]Mjee muungishe au mje mlete usnich..hahah...wala sikuhitaj mteja wa jf ..ma snich..unataka uje unijue .tujuane yan.hahahah. ...dah
Toa location mwamba acha wengee[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Mnataka mje msnich mfungue uzi m.napoleone yuko hiv yuko vile .hahaha..weee kaa hapo hapo. Ila ujue wenzako tunapambana mjini hapa...yaan kabisa nikupe location mwana jf .labda ungekua demu kweli....ila..dume..unakuja kusnitch tuu....hahahah..
Mi niko kariakoo nina pesa mpaka naumwaaa[emoji848][emoji848]Achana na vijana hawa. Wanahis muda unawasubiri..wanahis u need an extra cash to start somethin ...tatzo hawana hata clue ya whats realy goin on huku kwenye biashara....yule fredy vunjabei katajirikia kariakoo..jamaa sio muoga ndo kinachompa pesa.haogop kuweka hela. .pale kkoo kama unajua mifumo ya pale unatajirika in a minute...mim mwakan ndo naingia rasmi kkoo.mentor wangu amemaliza kaz nimebak mim tuu kuingia miguu miwil kkoo. Hapo kkoo kuna pesa had unaweza hisi ni miujiza..so waache vijana waendelee na day dreaming
Yeah dear...kuna watu masnitch humo eti wananywea bia humo ndani...nikajisemea kimoyoni wabongo bana[emoji16][emoji16][emoji23][emoji1787]Baada ya kuungua ndo pamebaki hivyo?
Make za.keMi niko kariakoo nina pesa mpaka naumwaaa[emoji848][emoji848]
Hahahaaha....siku nyingne ntampa maujuz ya jinsi ya kuspend kama kazikamatia fweza..hyo nilimpa ya kama mfuko hauko vzur kivileee [emoji16][emoji16][emoji16]Haaaaahaaaaahaaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji1787]
Hapa najiandaa women day....ila ninacheka kingese yaan....aah mabishoo mna kazi sana
Safi..nasie tunajipanga mwakan tuingie rasmi hapo ...ni vile korona inazingua ila ningeingia toka mwaka jana....manaa kila mtu ananambia subir upepo wa korona upiteMi niko kariakoo nina pesa mpaka naumwaaa[emoji848][emoji848]