Mambo ya insurance hayo
Hebu tulia huko!!! Mchaga kakufanyia figisu gani wewe empty handedWachaga Wana figisu saana ukute wanafukuzia hela kubwa ya insurance.
Bora iteketee tu maana yule mchaga wa La chaaz kala hela zangu saana.
In life you win some... You lose some!
Ngoja tusubirie uchunguzi wa polisi.Nawaza sio Ushindani wa Kibiashara kweli? nikikumbuka ile sehemu maarufu ya karibu yao ilivyoungua wadau walisema La chaaz Imehusika.
Boardroom imefungwa nikasikia tena kuna kamkono kao.
Uri..oh?Alikudhulumu??
Mimi sitaki kusema nilidhulumiwa na sijalipwa mpaka leo, malipo ni hapa hapa duniani dhulma sio nzuri
Wale vijana wa pale wakikutongoza siku nyingine waambie wakulipe cash kwanza!! Maana huwa mnajirahisisha sana na hatimaye mna--wa bila kulipwa chochoteAlikudhulumu??
Mimi sitaki kusema nilidhulumiwa na sijalipwa mpaka leo, malipo ni hapa hapa duniani dhulma sio nzuri
Shukurani kwa habari picha
Shukurani kwa habari picha
Uri..oh?
Uliagiza mzigo au?
Wale vijana wa pale wakikutongoza siku nyingine waambie wakulipe cash kwanza!! Maana huwa mnajirahisisha sana na hatimaye mna--wa bila kulipwa chochote
Oh pole sana.kuna biashara yangu niliitaka kuiweka pale akaniambia nilipe kiasi kadhaa cha fedha kama kodi ya mwaka mzima, nikalipa ila mwisho wa siku ikawa story story miaka 2 ishapita now nimemuachia Mungu
Nimepunguza nusu hasara... Nlishapoteza milion 7 pale kwa kunywa mipombe yao tu. Napachukia La Chaaz balaa.Nini faida sasa uliyopata baada ya La Chaaz kuteketea?
Oh pole sana.
Ulipofurahia janga la moto kwa mwenzako nikakuona mwehu tuSababu Mama ako alikupata kwenye Kudanga unadhani kila mtu Mdangaji, Mbwa wewe!!!
ngoja ukae kwenye ignore list!!!!
Hiyo ni bar moja Sinza Dar es Salaam maarufu sana. Na hii sio Mara ya kwanza kuungua. Sijui Kuna nini pale!Ni nini hicho umetaja hapo..... Ni mtu anateketea kwa moto au ni kitabu....?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema hii michezo inabidi ucheze smart sana , unaweza kuambuliaa kupotea kwenye ramani kabisaYalifanyika kwa makusudi yakakata na Bima kubwa kumbe Yana lao Jambo!