Sinza, Dar: La Chaaz Bar yateketea kwa moto

Vijana wenzangu mnapata wapi hela lakini hadi mpande ghorofa ya 14 kunywa tu
Mipango baba..na ubahili...kiingilio elf10 ndugu yangu unashindwa?...unaingia unaagiza red label kachupa kadogo kale .unamwambia weita akuletee na kvant tayar keshaiweka kwenye li glas likubwa achanganye huko huko na tonic aweke ndimu inakuja pale kama cocktail...na chuoa ndogo ya red label unaonekana mtashaaaa...unaagiza vichips kadhaa na tumishkak..umevaa umependeza ni shades za hatar...unaweka funguo mezan ...watoto wanapita unanukia perfume moja ya hatar....watoto wanajileta tuu.hao bongo muv na wasanii tunapishana nao tu wanakodoa macho wanataman uwanunulie pombe.kumbe wew una budget yako ya elf 50 tuh hapo mbwembwe zote hzo......mtu akikuchek anajua jamaa liko vzurr hili.hahahaha..kumbe mipango tu...unafanya hvyo mara1 a week....huku ukisave pesa nyingne unawekeza kwenye magoli yako ....mjin mipango..hakikisha una source za income nying mzee baba...
 
Pamoja
 
Haya Mzee Baba. Ila sasa hapo kwenye source za income nyingi ndo shida. Mbona wengine tunazitafutia hadi kwa tochi hata hatuzipati??

Na wewe tulia ushauri vizuri mbona unaandika kama unakimbizwa!![emoji1]
 
Haya Mzee Baba. Ila sasa hapo kwenye source za income nyingi ndo shida. Mbona wengine tunazitafutia hadi kwa tochi hata hatuzipati??
Hujaamua tuu mkuu....cheza kwenye basic needs....
Kama ni bidhaa bas deal na bidhaa ambayo hata wew kila siku unaitumia

Kama ni huduma bas fanya huduma ambayo wew unaifanya regulary

Toa aibu..ego..fanya maamuz...halaf usianze na mtaj mkubwa mtaj mdogo unatest mitambo..ukiona hukosi sh mbili bas unaongeza mtaj atleast kila goli likupe not less than 50k a week..ukiwa na magoli 10 mzee baba si unakunja 500k a week kiboya boya tu....hakikisha una manage vzur na uwe na mpango mkakat wa management....maana hapo ndo kazi ilipo

Ciao
 
Magoli 10 = 2M kwa mwezi
 
Magoli 10 = 2M kwa mwezi
Yes...hakikisha magoli yanakua meng zaid na zaid...kuna watu vijana tu wana magoli 50....mshikaj wangu sheta ana magoli ya chips kama 20 hiv...unamwona ameacha mzik skuhiz anaskuma discovery..ni hvo tuu hakuna uchaw....mi had mwakan ntakua nayo kama 20 hiv....ndo ukiskia mishen town ndo hzo...mwingne kila goli kwa week anafunga 100k..yakiwa kumi je..so ni mapambano...kwahyo kutoa 100k kuikaangaa kidimbwi kwa week mara1 inakua si shida..
 
Natafakari msaada wa jeshi la zimamoto hapa Dar sijui kama huwa wana list ya operations zote walizofanya ngapi zilifanikiwa na ngapi zilzofeli
 
Yes...hakikisha magoli yanakua meng zaid na zaid...kuna watu vijana tu wana magoli 50....mshikaj wangu sheta ana magoli ya chips kama 20 hiv...unamwona ameacha mzik skuhiz anaskuma discovery..ni hvo tuu hakuna uchaw....mi had mwakan ntakua nayo kama 20 hiv....ndo ukiskia mishen town ndo hzo...mwingne kila goli kwa week anafunga 100k..yakiwa kumi je..so ni mapambano...kwahyo kutoa 100k kuikaangaa kidimbwi kwa week mara1 inakua si shida..
Una base kwenye Niche/Huduma/Bidhaa gani.
 
Ndo inabid uchangamshe akili kijana unataka nikutafnie kila kitu...unataka nikutajie magoli yangu mkuu.kweeli?

Aaah...hapo sitokutajia maana ndo mganga wangu kanambia hvo(jokin)

Ila nmekwambia cheza kwenye basic needs....ambazo ni lazima mtu ahitaji.

Na hakikisha unafata basics zote za biashara..yaan elimu ya biashara.jifunze hata youtube etc..sku 1 tu inatosha kujifunza

1.research hitaj la jamii yako eneo husika..washindani wako etc
2.tafuta eneo lenye watu weng.mzunguko mkubwa
3.ongea ongea na watu wanaofanya hko kitu wakwambie ABCD
4.Fanya mahesab yako na anza na mtaj mdogo..nasisitiza anza na mtaj mdogo
5.fanya maamuz..usiichungulie sana hela na usisikilize negatives from people..kaa mbali na negative pipo
6.kuwa bahil..save money

Mengne jifunze mitandaon mkuu..articles ziko kibao
 
Back
Top Bottom