Sinza, Dar: La Chaaz Bar yateketea kwa moto

Sinza, Dar: La Chaaz Bar yateketea kwa moto

Kuna rahisi na toka lini mtu aka invest hela yake kwenye biashara kama hiyo??aspend 1 Billion kama watu wanavyosema humu ndani??watu tunaongea hali halisi kutokana na experience na sio tunaropoka....Nyumba ambayo nataka kupangisha ambayo sitoishi alafu nika invest mabillion ya hela wakati me nipo kibiashara zaidi.....
Eti[emoji848]
 
Kwa sisi watoto wa mjin ni kawaida kipind hiki cha magu enz zetu tulikua hatuigiz. Ila kwasasaa ukijifanya mjuaj utapotea kwenye raman...tuliozoea hayo maisha inabid tuigize tuu hakuna namna...
Na tunawekeza vile vile,....yanin nitumie laki mbili akat hyo laki mbili naweza enda paka rangi mpya magoli yangu yakangaa na kuendelea ita wateja zaid na zaid mkuu

Hongereni kwakweli kwa kuweza kuishi hivyo...
Ni kipaji na si kila mtu anakiweza
 
mambo ya kawaida tu mkuu

View attachment 1718600

Kuna sehemu nilisoma kuwa hapa duniani kuna resources za kutosha kabisa kuwafanya binadamu wote waishi vizuri tuu. Tatizo ni kwamba baadhi ya watu wanataka wanywe pombe kwa 12m wakati huo kuna mtu hajui jioni hii atakula nini? Na mara nyingi utakuta huyo anaekunywa pombe kwa njia moja ama nyingine ndio kasababisha huyu masikini akose chakula!

Something is very wrong with humans.
 
Mmmmh mmmmh 1b??[emoji15][emoji15][emoji15]

Ninakataa kwa nguvu zote, khaaaa chagas[emoji102][emoji88]
Kama vitu vingi aliagiza nje $ ilikuwa juu ya Tz inawezekana.. hiyo ni around kwenye $ 350,000 tu
 
Kwa akili zako kidogo tu ulizonazo, unaamini kwamba heavy investment kama hiyo haikuwa na bima ya moto? Unafahamu kwamba wapo wanaochoma magari na majengo yao kwa makusudi ili walipwe fedha nyingi mara 5 ya thamani ya kilichoungua? Na hii michezo wanashirikiana na maafisa wa Fire, bima na mwenye mali, wote wanagawana mgao
Na hiki ndo kilichotokea hapo sinza mori...mjini mipango[emoji126][emoji126]
 
Huyo si anakuwa anatafuta mademu ndugu yangu...so anaenda kama tego pale

Ni ile gusa unase[emoji16][emoji16]

[emoji23][emoji23][emoji23]nawajua hao mimi huwa siwageukii
Wanawapata ma slay queen macho juu juu

Unakuta kaka msafi,ananukia,kaweka funguo yake hapo juu au kaning’iniza kapanga simu zake,analamba kinywaji hicho hicho muda unasonga [emoji28][emoji28][emoji28]
Slay queen anaweza kunasa kirahisi hapo kumbe mwenzie ni showoff tu ukienda kwenye maisha halisi unachoka
 
Mkuu unajua nin.. 1b ni hela nyingi sana ukiitamka mdomoni. Lakini ukipiga gharama ya kufanya investment eneo kubwa kama lile, kufanya renovations, ujumlishe na vikorokoro vyote vilivyoko pale, bado kama eneo amekodisha maanake amelipa kodi let say ya mwaka au miaka miwili, aisee hata kama haitafika b lakini m600 - 800 zinaweza katika.
1 billion ni pesa ndogo sana kwenye uwekezaji. Kwa wafanya biashara wanajua, ila kwa mtu wa kutenga mikono hawezi elewa anaona ni hela nyingi sana
 
Nyumba ambayo nataka kupangisha ambayo sitoishi alafu nika invest mabillion ya hela wakati me nipo kibiashara zaidi.....
Kwa statement hii tu wewe hamna kitu mala mbili
1)Kupanga sehemu sio sababu ya kutoInvest 1B+ kuna biashara kibao mjini ni 1B+ na mfanya Biashara kapanga

2)Unaposema nyumba hauishi, ile sio nyumba ni Biashara, Sio Real Estate Business kwa investor bali Hospitality/Entertainment ni Real Estate Business kwa mpangishaji...mantiki ya kusema nyumba hauishi mpaka sasa sijaielewa.
 
Wapokea mishahara ukitaja 1 billion, wanaona kama hela kubwa sanaa.. wakati hela ya kingese sana hiyo kwenye investment. Tena usipoweza manage vizuri lazima ufurahi na roho yako
Yah kwenye biashara hela hio madogo tu kina fredy vunjabei wanacheza nayo ila mtu anaesubiria Makato ya HESLB, PAYE, WCF na NSSF lazma aone miujiza.
 
Kwa sisi watoto wa mjin ni kawaida kipind hiki cha magu enz zetu tulikua hatuigiz. Ila kwasasaa ukijifanya mjuaj utapotea kwenye raman...tuliozoea hayo maisha inabid tuigize tuu hakuna namna...
Na tunawekeza vile vile,....yanin nitumie laki mbili akat hyo laki mbili naweza enda paka rangi mpya magoli yangu yakangaa na kuendelea ita wateja zaid na zaid mkuu
Ha ha ha nimecheka kwa sauti kali[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji1787]
 
Unataka nawee akuunge kwenye grid ya taifa...tuulizen kwanza watoto wa mjin sio mnavamia tu kama dogo janja muanze kukohoa na kupungua uzito..(jokin)
Hayupp kwenye Grid mkuu. Mbona mnapenda sana kuvumisha vitu ambavyo havipo ?
 
Mna ma hela ya kucheze eeeh [emoji849][emoji849][emoji849]..
Nikienda sehemu nabeba 50,000 - 30,000. Simu haina mobile money, sina card ya bank. Yaani hiyo ikiisha ndio imeisha nasepa zangu
Ukiwa la chalz kusepa ni ngumu asee, washikaji waliishiwa ikabidi nibebe jukumu...hapo ndo kesho yake nilipiga ukunga wa kimakonde, 1m kushney
 
Back
Top Bottom